Mgeni Rasmi ,Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dk .Ashatu Kijaji akitoa hotuba yake katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawakeduniani liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita., |
Mwongoza Mada Modesta Mbughunia kifurahia jambo katika mjadala wa Uwiano sawa wa kijinsia uliofanyika katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake duniani liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita. |
Mhadhiri kutoka Centre of Foreign Relations and International Affairs Prof.Ruth Meena akifafanua jambo wakati mjadala kuhusu uwiano sawa wa kijinsia katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake duniani liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita. |
Mmoja wa wazungumzaji wakuu Prof Slyvia Kaaya akichangia mada katika mjadala wa uwiano sawa wa kijinsia pembeni yake ni Bi Mary Rusimbi aliyekuwa mkurungezi mtendaji wa BOT ,na kulia kwake ni Mwenyekiti wa TAWLA Aisha Bade ,anayefuatia ni Mtendaji Mkuu wa WOMEN FUND TANZANIA Mary Rusimbi katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake duniani liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita. |
Waziri wa fedha mstaafu Mama Zakhia Meghji akichangia katika ya uwiano sawa katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake duniani liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita. |
Mwandishi wa habari Mkongwe Bi Edda Sanga akichnagia mada ya Usawa wa Kijinsia katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake duniani liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita. |
Mfanyabiashara na blogger Monica Joseph akichangia mada katika mjadala wa usawa wa kijinsia katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake duniani liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita. |
MC Taji Liundi akiongoza utaratibu katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawakeduniani liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita. |
Mwanafalsafa Dk Elie Waminian akitoa mada katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawakeduniani liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita. |
Mmoja wa wasichana waliopata usimamizi (Mentorship ) kutokaTaasisi ya TWA Dalini Kilemba akitoa ushuhuda kwa washiriki jinsi TWA walivyoweza kubadilisha maisha yake katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake duniani liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita. |
|
Mwanamzuki CHi akitumbuiza katika katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dduniani liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita. |
Washiriki mbalimbali wa kongamano wakiweka saini zao katika ubao maalum katika namna ya kutoa ahadi ya Uwiano sahihi wa kijinsia katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawakeduniani liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita. |