ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Tigo sasa ya pili kwa ukubwa katika kampuni za simu Tanzania

iamkrantz by iamkrantz
April 15, 2016
in Uncategorized
Reading Time: 4 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez

Dar es Salaam, Aprili 14, 2016. Ushindani unazidi kupamba moto miongoni mwa kampuni za simu nchini ambapo katika kipindi cha miezi mitatu cha kati ya Oktoba na Desemba mwaka 2015, ni jumla ya watumiaji wapya 1,448,782 tu ambao walijisali kutumia huduma zao za mawasiliano.

Ushindani huu ambao umechochewa na kuingia kwa kampuni mpya katika sekta ya mawasiliano Tanzania, umefikisha jumla kuu ya watumiaji wa huduma ya mawasiliano nchini kufikia 39.8 milioni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Mamlaka ya Mawasilano Tanzania, (TCRA).

Kampuni ya MIC Tanzania Ltd- ijulikanayo kwa jina lingine kama Tigo – ilisajili juma ya wateja wapya 488,886 katika kipindi hicho cha miezi mitatu sawa na asilimia 34.
Idadi hii ya wateja wapya inaifanya Tigo kuwa na jumla ya wateja 11,115,991 na kuifanya kampuni hiyo kuwa katika nafasi ya pili kwa ukubwa imiliki asilimia 28 la soko la mawasiliano nchini na hivyo kuipita Airtel ambayo imekuwa katika nafasi hiyo kwa kipindi cha takriban muongo mmoja.

Airtel kwa upande mwingine ilisajili jumla ya wateja wapya wapatao 32, 839 katika kipindi hicho cha miezi mitatu na kufikisha jumla ya wateja wake kuwa  11,047, 505 ambayo ni sawa na asilimia 28 lakini kiwa imezidiwa na Tigo kwa idadi ya wateja 68,486.
Licha ya kuendelea kupungua kwa idadi ya wateja wake mwaka hadi mwaka, kwa mujibu wa takwimu za TCRA, Vodacom bado inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wateja wapatao 12,714,297 sawa na asilimia 32 ya jumla ya watumiaji wote wa huduma za mawasiliano Tanzania. Idadi ya wateja wa Vodacom imeonekana kushuka kutoka asilimia 45 mwaka 2007 hadi asilimia 41 mwaka 2008 na kufikia asilimia 39 Desemba 2009.
Wadadisi wa sekta ya mawasiliano wanaelezea hali hii kushuka kwa idadi ya wateja wapya miongoni mwa kampuni hizi kuwa kunachangiwa na mabadiliko ya kimikakati ambapo msizitizo mkubwa miongoni mwa kampuni ni kuwalenga Zaidi wateja watumiaji wa huduma za Intaneti kupitia simu zao kama nyenzo kuu ya kukuza mapato tofauti na matumizi ya kuongea na kutuma sms kama ilivyokuwa siku za nyuma.

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez, kwa upande wake ameelezea kukua haraka kwa kampuni hiyo katika kipindi cha miaka miwili iliyopita na kusema kumechangiwa na sababu mbalimbali zikiwemo ubunifu mkubwa ambao unafanywa katika kendesha kampuni kibiashara.
“Mafanikio ya Tigo yameletwa na sababu nyingi kama vile kuwapa wateja wetu huduma bora na kwa bei nafuu, upatikanaji wa mtandao wetu nchi nzima, utumiaji wa teknolojia ya kisasa, ubunifu na kuwa karibu na wateja,” Gutierrez anasema.
Akifafanua Zaidi kuhusu ubunifu huo, Gutierrez ametaja baaadhi ya huduima na bidhaa zilioanzishwa na kampuni hivi karibuni kama vile kuwapa wateja uwezo wa kufanya miamala ya kibenki kupitia simu zao za mikononi, uwezo wa kutuma na kupokea fedha kutoka mitandao mingine ya mawasiliano, kutuma na kupokea fedha kimataifa na mgao wa faida utolewao kwa watumiaji wa huduma ya Tigo Pesa kila baada ya miezi mitatu.

 Aidha meneja huyo mkuu ametaja vichocheo vingine vya kukua hara kwa Tigo kuwa ni “kubuni huduma zinazolenga kuwapa wateja wetu fursa ya kuishi maisha ya kidijitali zikiwemo huduma kama vile upatikanaji wa Facebook kwa lugha ya Kiswahili, simu zenye menu ya Kiswahili, WhatsApp ya bure na zinginezo,” amesema.
Kampuni ya Tigo kwa mujibu wa Gutierrez inawekeza kiasi cha dola za kimarekani $ 120 milioni  kwa mwaka katika kuboresha mtandao wake na kupanua upatikanaji wa huduma zake nchini.

Ametoa mfano wa huduma ya 4G LTE ya Tigo ambayo kwa sasa inapatikana katika miji sita – Dar es Salaam, Arusha, Tanga, Dodoma, Morogoro, Moshi na Mwanza – na kuelezea kuwepo kwa mkakati wa kufikisha huduma hii katika mji mikubwa yote nchini ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

Kwa upande wake kampuni ya Zantel ambayo ni kampuni dada ya Tigo, zote kiwa zinamilikiwa na Millicom, ilirekodi wateja wapya 320, 483 katika kipindi cha miezi mitatu ya mwisho ta mwaka 2015 na kufikisha jumla ya wateja 1, 839, 391. Nayo kampuni mpya ya Haloteli ndiyo iliyoongoza kwa kuvuna wateja wengi kipindi hicho wapatao 793, 383 na hivyo kufikisha jumla kuu ya waetja wake kuwa 1,226,678 hadi kufikia mwisho wa Desemba 2015.

Ikiwa na wateja milioni 1.56 hadi kufikia mwishoni mwa Desemba 2015, Smart ilikuwa na asilimia nne (4) la soko la mawasiliano ya simu nchini sawa na Zantel wakati kampuni inayomilikiwa na serikali (TTCL) ikiwa inashikilia asilimia moja (1) ya soko hilo.

ADVERTISEMENT
Previous Post

Tigo sasa ya pili kwa ukubwa katika kampuni za simu Tanzania

Next Post

Jumuiya ya Wakurugenzi wa Serikali za Mitaa Kutoka UGANDA Watembelea Kampuni ya Maxcom Africa – Maxmalipo

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima
Uncategorized

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima

by iamkrantz
January 31, 2023
0

Kutoka Kushoto: Mkuu wa Idara ya Bima - Benki ya NMB, Martine Massawe; Kamishna wa Bima nchini, Dkt. Baghayo Saqware;...

Read more
Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

January 25, 2023
Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

January 25, 2023
MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

January 23, 2023
NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

January 23, 2023
Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

January 23, 2023
Load More
Next Post

Jumuiya ya Wakurugenzi wa Serikali za Mitaa Kutoka UGANDA Watembelea Kampuni ya Maxcom Africa - Maxmalipo

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

February 6, 2023
Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

August 18, 2022
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

February 2, 2023
HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

February 7, 2023
DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

February 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

February 7, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

February 7, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In