.Wachezaji wa Timu ya fastjet (wenye jezi nyeusi) wakichuana na wachezaji wa timu ya Diamond Trust Bank(DTB) wakati wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibuni
Wachezaji wa Timu ya fastjet (wenye jezi nyeusi) wakichuana na wachezaji wa timu ya Diamond Trust Bank(DTB) wakati wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibuni
Wachezaji wa Timu ya fastjet wakisheherekea ushindi waliopata dhidi ya timu ya Diamond Trust Bank(DTB) kwenye mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra yaliyofanyika katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibun
.Afisa Masoko na Mawasiliano wa fastjet, Lucy Mbogoro akionyesha cheti kilichozawadiwa kwa timu ya fastjet kama mshindi wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra yaliyofanyika katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibuni
Afisa Masoko na Mawasiliano wa fastjet, Lucy Mbogoro akionyesha cheti kilichozawadiwa kwa timu ya fastjet kama mshindi wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra yaliyofanyika katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibuni