ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Saturday, August 13, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

    BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

    Rais Samia Akamilisha Ziara yake Mkoani Njombe

    UGENI KUTOKA NIGERIA WAWASILI NCHINI KUJIFUNZA MASUALA YA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA

    Serikali yatenga Bilioni 11.3/- kuweka lami na viwanda vidogo Njombe Mji

    NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO KUDHAMINI TAMASHA LA FIESTA 2016

admin by admin
July 15, 2016
in Uncategorized
Reading Time: 4 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
 Ofisa Mkuu wa Biashara wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Shavkat Berdiev (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu kampuni hiyo kudhamini Tamasha la Fiesta 2016. Kushoto ni  Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta, Sebastian Maganga.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa  Kampuni ya Prime Time Promotions, Joseph Kusaga, ambao ndiyo waandaaji wa tamasha hilo, akizungumza katika mkutano huo. Kutoka kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (Basata), Godfrey Mugereza, Ofisa Mkuu wa Biashara wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Shavkat Berdiev na Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta, Sebastian Maganga.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta, Sebastian Maganga (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (Basata), Godfrey Mugereza (kulia), akichangia jambo kwenye mkutano huo.
 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Mkutano ukiendelea.
Na Dotto Mwaibale

TAMASHA la 15 la Fiesta mwaka 2016, linatarajiwa kuanza kutimua vumbi mwishoni mwa Agosti mwaka huu, likianzia jijini Mwanza.

Tamasha hilo ambalo linadhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi, Tigo, linatarajiwa kuwa la aina yake kutokana na waandaji kufanya mabadiliko mbalimbali.

Akizungumza Dar es Salaam leo, Ofisa Mkuu wa Biashara wa Tigo, Shavkat Berdiev, alisema wameamua kuungana na waandaaji wa tamasha hilo kutokana na kutambua umuhimu wa sanaa kwa vijana.

Alisema kwamba, Tigo ni mtandao unaopendwa na wengi hasa vijana ndio maana wameamua kushirikiana nao katika tamasha hilo ambalo litakuwa la 15 tangu kuanzishwa kwake.

Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta, Sebastian Maganga, alisema kuwa, tamasha hilo linatarajiwa kuanza mwishoni mwa Agosti na  kwamba litakwenda sambamba ya kuazimisha miaka 15 ya tamasha hilo.

“Tamasha hili litaanza rasmi mkoani Mwanza na kufuatiwa maeneo mengine ambayo ni pamoja na Kahama, Bukoba, Musoma, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Morogoro, Tanga, Kilimanjaro, Mtwara, Iringa, Mbeya na Dar es Salaam.

Alisema tamasha hilo watatumia kwa kujitathimini walichokifanya ambapo anaamini kama watafanikiwa kuendelea kuibua vipaji vingine kama ilivyokuwa kwa ‘Super Nyota Diva’ wa mwaka juzi ambaye anatamba kwenye muziki wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Rubby’. 

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (Basata), Godfrey Mungereza, alisema kwamba, wao kama Baraza wametoa kibali kwa tamasha hilo, kwa sababu wamefata taratibu zote na wanatambua kwamba wanasaidia maendeleo ya sanaa nchini.

Tamasha hilo limeandaliwa na Kampuni ya Prime Time Promotions chini ya Mkurugenzi wake Mtendaji, Joseph Kusaga.

(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
ADVERTISEMENT
Previous Post

Tigo, serikali zasaini makubaliano kuunganisha shule za sekondari na intaneti

Next Post

SBL yazindua bomba la 470m/- kudhibiti majitaka

admin

admin

RelatedPosts

NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini
BUSINESS NEWS

NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

by admin
August 10, 2022
0

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biasharawa NMB- Bw. Filbert Mponzi(katikati) akizungumza kwenye maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika jijini Mbeya....

Read more
Hii ndio tiba ya kuondoa mikosi maishani yenye uhakika zaidi

August 9, 2022
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AIPONGEZA BENKI YA CRDB, AHITIMISHA MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

August 8, 2022
NMB Mshiko Fasta kuwanufaisha wakulima

NMB Mshiko Fasta kuwanufaisha wakulima

August 7, 2022
Benki ya NMB yaahidi kuendelea kutoa mikopo kwa wawekezaji  sekta ya nishati nchini

August 5, 2022
Load More
Next Post

SBL yazindua bomba la 470m/- kudhibiti majitaka

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

August 8, 2022
Yanga SC Yaweka Rekodi Mpya ya Mapato Kupitia Tamasha Lao 2022

Yanga SC Yaweka Rekodi Mpya ya Mapato Kupitia Tamasha Lao 2022

August 10, 2022
Benki ya NBC yadhamini Milioni 10  Mashindano ya Golf

Benki ya NBC yadhamini Milioni 10 Mashindano ya Golf

August 10, 2022
Hii ndio tiba ya kuondoa mikosi maishani yenye uhakika zaidi

Hii ndio tiba ya kuondoa mikosi maishani yenye uhakika zaidi

August 9, 2022
Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

August 12, 2022
BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

August 12, 2022
Dkt. Mpango Aitaka NEMC na STAMICO Kufanya Tathimini Migodini

Yanga yaagana na Afisa Habari wao, Hassan Bumbuli

Yanga yaagana na Afisa Habari wao, Hassan Bumbuli

August 12, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In