Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Ally Maswanya (wa kwanza kulia ) akiwa amekaa kwenye madawati baada ya makabadhiano anayefuatia ni Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkulu kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa Halmashauri ya Kahama Mjini. Jumla ya madawati 235 yalitolewa kwa shule za wilayani humo ndani ya msimu huu wa fiesta. |
CRDB, USAID Na DFC Kutoa Shilingi Bilioni 100 Kwenye Sekta Ya Elimu, Afya, Biashara Ndogo Na Kati Pamoja Na Sekta Zisizo Rasmi Tanzania
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) kwa pamoja na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dkt. Donald Wright...
Read more