Washindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki ya Finca wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa benki ya FINCA na maafisa usafirishaji wa Ngolika na New force mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao mapema leo katika ofisi za makao makuu ya FINCA jijini Dar es salaam. |
Washindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki ya Finca wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao mapema leo katika ofisi za makao makuu ya FINCA jijini Dar es salaam. |