Mshiriki wa shindano la ‘’SMIRNOFF ICE BLACK DJ SEARCH’ akionesha umahiri wake katika kutumia mashine mapema mwishoni wa wiki ikiyopita katika fukwe za Coco. |
Dar es Salaam, Oktoba 14 2017-Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) leo imezindua upya msimu wa pili wa ‘’Smirnoff ice black’’ (SIB) Dj search . Kampeni hii ya miezi mitatu itakayolenga kusaka Dj bora na kuleta karibu kinywaji hicho kwa watumiaji wake nchi nzima.
Akiongea katika uzinduzi huo maeneo ya Coco Beach Dar es salaam Meneja wa bidhaa wa SBL Ester Raphael amesema mashindano haya yana dhumuni la kuhamasisha na kuvutia watumiaji wapya wa kinywaji hicho huku wakishindanisha maDJ nchi nzima na kupata vinara watatu ambao watapa ta zawadi nono.
Lengo jingine la uzinduzi huu alifafanua Ester ‘’Ni kuongeza ufahamu wa kinywaji hicho kwa watumiaji wake kwamba ni kinywaji ambacho kipo tayari kwa kunywa na kuhamasisha kuwa ina ladha ya kipekee ya limao.
“Tunaamini kwa kupitia shindano hili , SBL itatoa msisimko kwa wateja wake na muziki mzuri na nafasi ya kipekee kuonyesha uwezo wa MaDj wanaochipukia’’. Ester ametaja mikoa ambayo shindano hilo litafanyika, mikoa hiyo ni pamoja na Dar es Salaam, Dodoma, Arusha, Morogoro, and Mwanza kila mkoa kutoa maDj 10 na jumla kuwa maDJ 50, mwishoni watapambanishwa na kupata washindi watatu ambao watapokea zawadi kutoka SBL.
“Kutakuwa na zawadi kwa washindi wetu”, alifafanua na kusema zawadi hizo zitajumuisha DJ kits, laptops na controllers kwa washindi watatu watakaofika finali hizo.
Ester alimalizia kwa kusema “Tunapenda kuchukua nafasi hii kuwaalika maDj wote na wapenzi wa muziki kujumuika nasi katika shindano hili ili kusherekea kwa pamoja na kinywaji chetu cha Smirnoff Ice Black’’