• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Bongo Swaggz
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Mwanzo
  • Udaku
  • Mahusiano
  • Burudani
  • Michezo
  • Simulizi
  • Afya
  • Magazeti
No Result
View All Result
  • Mwanzo
  • Udaku
  • Mahusiano
  • Burudani
  • Michezo
  • Simulizi
  • Afya
  • Magazeti
No Result
View All Result
Bongo Swaggz
No Result
View All Result
Home Habari

Hayani Madhara ya Kutumia Dawa za Kuzuia Mimba (P2)

Admin by Admin
January 31, 2020
in Habari
0
0
SHARES
1.9k
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Watu wengi hasa vijana watakuwa wanafahamu dawa ambazo hutumiwa sana kuzuia ujauzito pale ambapo wapenzi wamejamiiana ndani ya siku za hatari. Dawa hizi zipo za aina nyingi kama vile, P2, Morning After Pill na kadhalika.

Endapo wawili hawa wanakuwa hawapo tayari kupata mtoto, na wanaona kwamba siku walizojamiiana zitapelekea mwanamke huyo kutunga mimba, basi anaweza kutumia p2 ambayo inaharibu mazingira au uwezekano wa mimba kutungwa.

Dawa hizi zinaweza kutumika ndani ya saa 72 tangu mwanamke alipojamiina, lakini ikumbukwe kuwa, kadiri unavyozitumia mapema, ndivyo uwezekano wake wa kuzuia mimba unavyozidi kuwa mkubwa.

Licha ya kuwa watu wengi hutumia dawa hizi, ni wachache sana huchukua muda na kutaka kujua madhara yatokanayo na dawa hizo. Kwa ufupi tutaangalia madhara yanayoweza kutokana na dawa hizo. Hii haina maana kwamba, ukiitumia, basi ni lazima madhara haya yote yatakayojadiliwa hapa yakutokee, bali yanaweza kutokea baadhi au yasitokee kabisa.

Dawa hizi husababisha madhara kwa baadhi ya watumiaji. Miongoni mwa madhara ya kawaida ambayo husababisha ni pamoja na kupata maumivu ya tumbo, kuvurugika kwa mfumo wa hedhi, kutapika.

Unapotumia dawa hizi, mfumo wa hedhi katika mwezi unaofuata, hedhi inaweza kuanza mapema zaidi au kwa kuchelewa na damu inayotoka inaweza kuwa nzito ama nyepesi kuliko ilivyo kawaida.

Madhara haya ni ya muda mfupi tu, yanapita. Unapotapika ndani ya saa 3 baada ya kumeza dawa hizi, unashauriwa kuonana na mtaalamu wa afya au umeze tena dawa hizo.

Madhara mengine yanayoweza kutokana na dawa hizi ni maumivu ya kichwa, kuumwa na nyonga, maumivu ya mgongo na misuli.

Unapotumia dawa hizi na kuhisi maumivu makali, unaweza kutumia dawa za kutuliza maumivu. Pia unaweza kula chakula au kitu kingine ili kupunguza maumivu ya tumbo.

Bado hakuna ushahidi wa kitaalamu kuwa matumizi ya dawa hizi yanaweza kusababisha madhara ya muda mrefu kwenye afya ya uzazi ya mtumiaji. Aidha, unashauriwa kutozitumia mara kwa mara.

Download App Yetu  MPYA>> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

ADVERTISEMENT
Tags: Mapenzi
Previous Post

Ratiba ya Mechi za Kombe la Dunia - Urusi 2018

Next Post

Picha na Video: Hatimaye Alikiba Afunga Ndoa Mjini Mombasa, Kenya

Admin

Admin

Next Post

Picha na Video: Hatimaye Alikiba Afunga Ndoa Mjini Mombasa, Kenya

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

  • Trending
  • Comments
  • Latest
New Music Yamoto Band ft Christian Bella – Wambea Download Hapa

New Music Yamoto Band ft Christian Bella – Wambea Download Hapa

January 31, 2020
Kwanini Mbuzi na Papai Vilionekana na Maambukizi ya Corona (COVID-19)? Mtaalamu wa Chuo Kikuu Atoa Ufafanuzi.

Kwanini Mbuzi na Papai Vilionekana na Maambukizi ya Corona (COVID-19)? Mtaalamu wa Chuo Kikuu Atoa Ufafanuzi.

May 11, 2020

Hayani Madhara ya Kutumia Dawa za Kuzuia Mimba (P2)

January 31, 2020

Audio: Professor Jay Ft. Sholo Mwamba – Kazi Kazi | Download

January 31, 2020

BABA YAKE DIAMOND AFUNGUKA ASEMA “DIAMOND SIO RIZIKI YANGU” CHEKI HAPA

32
BABA MDOGO AMEINGIA GAFLA CHUMBANI KWANGU NA KUNIKUTA UCHI NIKIVAA NGUO, SASA ANANISUMBUA ,ANATANITAKA

BABA MDOGO AMEINGIA GAFLA CHUMBANI KWANGU NA KUNIKUTA UCHI NIKIVAA NGUO, SASA ANANISUMBUA ,ANATANITAKA

28
Eti Huyu ndiye binti anayedai kubakwa na mume wa Flora Mbasha..Kwa Staili Hii No Comment

Eti Huyu ndiye binti anayedai kubakwa na mume wa Flora Mbasha..Kwa Staili Hii No Comment

28

DIAMOND PLATNUMZ APOST UJUMBE MZURI KULIKO YOTE ALIYOWAHI KUPOST MTANDAONI, USOME HAPA

26
Wadau wa michezo watakiwa kutumia mitandao vizuri

Wadau wa michezo watakiwa kutumia mitandao vizuri

January 21, 2021
Diamond apewa agizo na BASATA

Diamond apewa agizo na BASATA

January 21, 2021
Z Anto ajibu ishu ya ukaribu wake na Nicole Berry

Z Anto ajibu ishu ya ukaribu wake na Nicole Berry

January 21, 2021
VideoMPYA: Harmonize – Anajikosha

VideoMPYA: Harmonize – Anajikosha

January 21, 2021

Habari Mpya

Wadau wa michezo watakiwa kutumia mitandao vizuri

Wadau wa michezo watakiwa kutumia mitandao vizuri

2 hours ago
Diamond apewa agizo na BASATA

Diamond apewa agizo na BASATA

5 hours ago
Z Anto ajibu ishu ya ukaribu wake na Nicole Berry

Z Anto ajibu ishu ya ukaribu wake na Nicole Berry

6 hours ago
VideoMPYA: Harmonize – Anajikosha

VideoMPYA: Harmonize – Anajikosha

6 hours ago
Bongo Swaggz

Bongo Swaggz

Bongo Swaggz ni blogu ya kijamii inayokuletea habari mbalimbali za udaku, michezo na burudani, mziki, simulizi, makala, afya na mahusiano kutoka ndani na nje ya nchi.

Follow Us

Habari za kila siku

April 2018
M T W T F S S
« Mar   May »
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
30  

Habari Mpya

Wadau wa michezo watakiwa kutumia mitandao vizuri

Wadau wa michezo watakiwa kutumia mitandao vizuri

January 21, 2021
Diamond apewa agizo na BASATA

Diamond apewa agizo na BASATA

January 21, 2021
Z Anto ajibu ishu ya ukaribu wake na Nicole Berry

Z Anto ajibu ishu ya ukaribu wake na Nicole Berry

January 21, 2021
VideoMPYA: Harmonize – Anajikosha

VideoMPYA: Harmonize – Anajikosha

January 21, 2021
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2020 Bongo Swaggz | Powered by Koncept

No Result
View All Result
  • Mwanzo
  • Udaku
  • Mahusiano
  • Burudani
  • Michezo
  • Simulizi
  • Afya
  • Magazeti

© 2020 Bongo Swaggz | Powered by Koncept