ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, August 18, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wakurugenzi wa Halotel Wampongeza IGP Camilius Wambura Kuhudumu katika Nafasi yake mpya

    Wakurugenzi wa Halotel Wampongeza IGP Camilius Wambura Kuhudumu katika Nafasi yake mpya

    Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

    Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

    Bi. Brenda Msangi  aeleza juu ya Programu ya CCBRT ya “Mabinti Center” kwa Dkt. Bärbel Kofle pamoja na washirika

    Bi. Brenda Msangi aeleza juu ya Programu ya CCBRT ya “Mabinti Center” kwa Dkt. Bärbel Kofle pamoja na washirika

    Rais Samia aridhia Agosti 23 kuwa siku ya mapumziko

    Rais Samia aridhia Agosti 23 kuwa siku ya mapumziko

    HABARI ZA HIVI PUNDE: RAILA ODINGA APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU

    HABARI ZA HIVI PUNDE: RAILA ODINGA APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU

    BASHUNGWA”TAMISEMI NI MDAU MKUBWA WA TAKWIMU ZA SENSA”

    BASHUNGWA”TAMISEMI NI MDAU MKUBWA WA TAKWIMU ZA SENSA”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Wateja wa Tigo jijini Mwanza kufikiwa na huduma kwa urahisi baada ya ufunguzi wa duka jipya lililopo katika jengo la Rock City Mall.

admin by admin
September 26, 2019
in TIGO
Reading Time: 8 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Mkuu Wilaya ya Ilemela Dk Severine Lalika, akikata utepe kuzindua duka la Tigo kwenye jengo la Rock City jijini Mwanza, kushoto ni Meneja Huduma kwa wateja kanda ya ziwa Beatrice Kinabo na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Uthmaan Madati wakishuhudia.

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Uthman Madati akitoa  hotuba kwa wageni waalikwa  wakati wa   uzinduzi wa duka la Tigo kwenye jengo la Rock City jijini Mwanza, 

Mkuu Wilaya ya Ilemela Dk Severine Lalika, akitoa hotuba wakati wa  kuzindua duka la Tigo kwenye jengo la Rock City jijini Mwanza 
wageni waalikwa wakifuatilia hotuba kwa makini  uzinduzi wa duka la Tigo kwenye jengo la Rock City jijini Mwanza

Muonekano wa Duka jipya la Tigo Mwenye Jengo la Rock City Jijini Mwanza

Mkuu Wilaya ya Ilemela Dk Severine Lalika(wa pili kulia) na Msimamizi wa duka la Tigo Rock city Neema Mossama, wakikata keki wakati wa uzinduzi duka la Tigo kwenye jengo la Rock City jijini Mwanza, kushoto ni Meneja Huduma kwa wateja kanda ya ziwa Beatrice Kinabo na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Uthmaan Madati(wa kwanza kulia) wakishuhudia.

Mkuu Wilaya ya Ilemela Dk Severine Lalika(kulia) akizungumza na Meneja Huduma kwa wateja kanda ya ziwa Beatrice Kinabo(kushoto) Meneja wa Tigo kanda ya Ziwa Daniel Mainoya na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Uthmaan Madati, baada ya kuzindua duka la Tigo kwenye jengo la Rock city.

Mkuu Wilaya ya Ilemela Dk Severine Lalika, akiangalia simu kwenye duka la Tigo kwenye jengo la Rock City jijini Mwanza baada ya kulizindua.

Mwanza.Septemba 26, 2019. Kampuni inayoongoza katika maisha ya kidijitali  Tanzania,Tigo, leo imefungua duka jipya jijini Mwanza.Duka hilo litawafanya wateja wa kampuni hiyo kupata huduma zote kwa urahisi zaidi ndani ya eneo moja la Rock City Mall.
Duka hilo litatoa huduma zote muhimu kuanzia usajili wa namba za simu kwa alama za vidole, huduma za kifedha ‘Tigo Pesa’ na mauzo ya data na vifaa vya mawasiliano kama simu janja, router na modem kwaajili ya huduma yetu tuliyo zindua hivi majuzi iitwayo ‘Tigo Home internet’.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa duka hilo, Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Uthmaan Madati amesema hatua ya kufungua duka hilo ni moja ya mkakati wa Tigo wa uboreshaji wa huduma na kuhakikisha zinawafikia wateja kwa wakati nchi nzima.
“Duka hili jipya litampa mteja wetu wasaa wa kutazama na kujaribu bidhaa mbalimbali kabla ya kuamua kufanya manunuzi.Hatua hii imekuja kufuatia maombi ya muda mrefu kutoka kwa wateja wetu waliokuwa wakihitaji uwepo wa duka letu kwenye jengo hili maarufu kibiashara hivyo tumekidhi mahitaji yao,”alisema Madati.
Awali akizindua duka hilo, Mkuu wa Wilaya ya Ilemela,Mkoani Mwanza, Dkt.Severine Lalika alipongeza juhudi za Tigo katika kuwekeza rasilimali katika uboreshaji wa huduma na kuhakikisha zinakidhi viwango vya kimataifa.
“Huduma bora kwa wateja ni kitovu cha biashara na zaidi huwafanya wateja wajisikie wanathaminika na kuheshimiwa, Tigo wametekeleza jambo hili kwa vitendo kwa kufanya uwekezaji katika utoaji wa huduma zao jambo linalowapa utofauti wa kipekee sokoni,” alisema Lalika.
Kadhalika,duka hilo linakuwa la nne kufunguliwa mkoani humo huku likiwa na huduma mpya ikiwamo simu zinazotamba kwa sasa aina ya S3 na R7 pamoja na vifaa vya huduma za intaneti kwa makampuni maarufu kama ‘Tigo business’.
Maduka mengine matatu ambayo yanatoa huduma mkoani hapa ni pamoja na Mwanza kiosk-barabara ya Nyerere, Ukerewe shop-Wilaya ya Ukerewe, Sengerema shop-Wilayani Sengerema   na Airport kiosk- Uwanja wa ndege wa Mwanza.
//Mwisho//
ADVERTISEMENT
Previous Post

UBER LAUNCHES uberPOA IN DAR ES SALAAM

Next Post

WEUSI, FID Q WAFUNIKA OMMY DIMPOZ AKIMWAGA MACHOZI JUKWAA LA TIGO FIESTA 2019 _SAIZI YAKO MWANZA

admin

admin

RelatedPosts

No Content Available
Load More
Next Post
WEUSI, FID Q WAFUNIKA OMMY DIMPOZ AKIMWAGA MACHOZI JUKWAA LA TIGO FIESTA 2019 _SAIZI YAKO MWANZA

WEUSI, FID Q WAFUNIKA OMMY DIMPOZ AKIMWAGA MACHOZI JUKWAA LA TIGO FIESTA 2019 _SAIZI YAKO MWANZA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yanga SC Yaweka Rekodi Mpya ya Mapato Kupitia Tamasha Lao 2022

Yanga SC Yaweka Rekodi Mpya ya Mapato Kupitia Tamasha Lao 2022

August 10, 2022
AZAM FC YAWASHUKURU WASANII WALIOTOA BURUDANI KALI  TAMASHA LA AZAMKA 2022

AZAM FC YAWASHUKURU WASANII WALIOTOA BURUDANI KALI TAMASHA LA AZAMKA 2022

August 16, 2022
Pesapal yapewa Leseni na Benki Kuu ya Tanzania kwa Utoaji Huduma Kwa Mfumo wa Kidigitali Zaidi

Pesapal yapewa Leseni na Benki Kuu ya Tanzania kwa Utoaji Huduma Kwa Mfumo wa Kidigitali Zaidi

August 17, 2022
Barnaba Kutoa Asilimia 18% ya Mauzo ya Album yake Kusaidi Watoto Njiti

Barnaba Kutoa Asilimia 18% ya Mauzo ya Album yake Kusaidi Watoto Njiti

August 17, 2022
Wakurugenzi wa Halotel Wampongeza IGP Camilius Wambura Kuhudumu katika Nafasi yake mpya

Wakurugenzi wa Halotel Wampongeza IGP Camilius Wambura Kuhudumu katika Nafasi yake mpya

August 18, 2022
Vodacom Tanzania yawajengea uwezo wa Tehama Wanafunzi wa kike jijini Dodoma

Vodacom Tanzania yawajengea uwezo wa Tehama Wanafunzi wa kike jijini Dodoma

August 18, 2022
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 18.08.2022

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 18.08.2022

August 18, 2022
Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

August 18, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In