ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, June 30, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

    CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

    PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

    PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

    BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

    BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

    Rais Samia Amteua Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini

    Rais Samia Amteua Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini

    Diaspora Watanzania Waipongeza Benki Ya CRDB Na CPS Kwa Kuwashirikisha Fursa

    Diaspora Watanzania Waipongeza Benki Ya CRDB Na CPS Kwa Kuwashirikisha Fursa

    Mwanadada Atapeliwa “Iphone Kisa Nafasi ya Kazi”

    Mwanadada Atapeliwa “Iphone Kisa Nafasi ya Kazi”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT
Home BURUDANI

WEUSI, FID Q WAFUNIKA OMMY DIMPOZ AKIMWAGA MACHOZI JUKWAA LA TIGO FIESTA 2019 _SAIZI YAKO MWANZA

admin by admin
April 16, 2022
in BURUDANI
0
WEUSI, FID Q WAFUNIKA OMMY DIMPOZ AKIMWAGA MACHOZI JUKWAA LA TIGO FIESTA 2019 _SAIZI YAKO MWANZA
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

post-feature-image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Lulu Diva akitawala jukwaa la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Marioo akishambulia jukwaa la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako  katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rich Mvoko akitawala jukwaa laTigo Fiesta 2019 _Saizi yako k katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya TID ” Mnyama” akipagawisha jukwaa la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako  katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.  

Badman Mkali wa Ngoma ya “NIKagongee ” akipagawisha jukwaa la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako  katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. 
Bilnass  akipagawisha jukwaa la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako k katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. 
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nandy ;;African Princess” akishambulia jukwaa la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nyumba ya Sanaa(THT) wakiwa wamebeba picha ya aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi wa Clouds Media Ruge Mutahaba kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako  Katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wakati wakimkumbuka na kumtakia alale mahali pema peponi.  
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na Injili Goodluck Gozbert akishambulia jukwaa la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako  katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

  Barnaba Classic akishambulia jukwaa la TTigo Fiesta 2019 _Saizi yako k katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpozi akifuta machozi wakati akitoa burudani kwenye jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza 
Mkali wa HipHop  Fareed Kubanda ”Fid Q” akitoa burudani kwenye jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza
Maua Sama akitoa burudani kwenye jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Weusi  wakishambulia jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza  

TAMASHA la Muziki, Msimu wa Tigo Fiesta 2019 limezinduliwa jana kwa kishindo jijini Mwanza huku kundi la Weusi likifunika kwa kuwapagawisha washabiki luluki waliojitokeza kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.

Mbali na wasanii hao kukonga vilivyo nyoyo za washabiki wa muziki wa kizazi kipya msanii mwingine machachari Farid Kubanda ‘Fid Q’ hakuwa nyuma kuwarusha wapenzi  huku Omar maarufu kama Ommy Dimpoz akimwaga kukwaani.

Washabiki waliojitokeza kwenye Uwanja wa CCM Kirumba walishindwa kujizuia kutokana na makamuzi ya nguvu yaliyowaacha hoi yaliyofanywa na kundi la Weusi wakiongozwa na JOH Makini,Nikki wa pili na G Nako baada ya  kupanda jukwaani na kutoa burudani tosha.
Aidha, katika tamasha hilo la Tigo Fiesta 2019 msanii Fid Q alipanda jukwaani akiwa kwenye Wheel Chair (kiti cha magurudumu mawili) kabla ya  kuwazodoa waliomzushia kifo na kwamba hataweza kuimba kutokana na kuugua maradhi kwenye koo kasha kumwaga machozi mithili ya mtoto.

Tamasha hilo limefanyika Mwanza kwa mara ya kwanza kuasisiwa kwake lilikuwa na mvuto na msisimko mkubwa ambapo washabiki kutoka viunga vya jiji hilo la  milima ya miamba ya mawe  walisuuzika nyoyo na mara kadhaa walishiriki kuimba nyimbo za wasanii mbalimbali hasa kundi la Weusi na Fid Q.

Mbali na kundi la weusi lililopagawisha vilivyo, wengine ni Barnaba, TID, Mavoko na Diva ambapo wasanii wa jiji la Mwanza nao hawakubaki nyuma.

Akizindua tamasha hilo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela alisema waandaaji wa Tigo Fiesta 2019 kwa ubunifu na uamuzi wao wa kuzindua tamasha hilo hawakukosea ikizingatiwa jiji hilo ni kitovu cha biashara kwa nchi  za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati.
“Mwanza ni kisima cha burudani kutoka na kuwa na wapenzi wengi wa muziki wa kizazi kipya hivyo niwapongeze Clouds na Tigo kwa ubunifu wao wa kuandaa na kuzindua tamasha lao hapa.Sisi kama mkoa tutaendelea kuwaunga mkono.Pia  tamasha hili mbali na kutoa burudani lina umuhimu kiuchumi, linatoa ajira za muda mfupi,linaongeza kipato cha wananchi wetu na waandaaji nao wananufaika,”alisema Mongela.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Clouds Media Entertainment, Joseph Kusaga, alisema wana mapenzi nakubwa na Mkoa wa Mwanza na  ndiyo sababu  msimu huu wamezindua tamasha la Tigo Fiesta 2019 kwa kutambua mchango wa mkoa huo.

Naye Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Uthmaan Madati, kampuni hiyo ya mawasiliano itaendelea kushirikiana na kuiunga mkono Clouds  ili kuhakikisha wanawapatia Watanzania burudani yenye vionjo na ladha tofauti tofauti.

Hata hivyo washabiki na wapenzi Tigo Fiesta 2019 waligubikwa na huzuni na simanzi ya muda mfupi wakati  kundi la wasanii wa Tanzania House of Talent (THT) likitoa  burudani huku wakionyesha picha za aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi wa Clouds, marehemu Ruge Mutahaba ikiwa ishara ya kumbukumbu yake.
Ikumbukwe marehemu Ruge kabla ya kufikwa na mauti alikuwa mhimili na muasisi wa tamasha hilo zamani likiitwa Fiesta kabla ya kubadilishwa na kuitwa Tigo Fiesta.

Tamasha hilo baada ya kuzinduliwa mashambulizi yataelekezwa mkoani Kagera katika Wilaya ya Muleba na hivyo wapenzi wa huko wakae mkao wa kula kwa nafasi
ADVERTISEMENT
Previous Post

Wateja wa Tigo jijini Mwanza kufikiwa na huduma kwa urahisi baada ya ufunguzi wa duka jipya lililopo katika jengo la Rock City Mall.

Next Post

SBL yazindua kampeni ya ‘Usitumie Kilevi na Kuendesha Chombo cha Moto’ mkoani Tanga

admin

admin

RelatedPosts

Tuzo za Awali za TMA Zilikufa Kwasababu Yangu Adai Diamond Platnumz
BURUDANI

Tuzo za Awali za TMA Zilikufa Kwasababu Yangu Adai Diamond Platnumz

by iamkrantz
April 16, 2022
0

  Kutoka London,Uingereza mwanamuziki @diamondplatnumz akifanya mahojiano na kituo cha habari cha BBC Swahili amefunguka kuhusu msimamo wake wa kukataa...

Read more
Zari Hassan na Wema Sepetu Faida Kwa Mondi

Zari Hassan na Wema Sepetu Faida Kwa Mondi

April 16, 2022
Aslay, Abby Chams na Young Lunya Wasainiwa na Rockstar Africa

Aslay, Abby Chams na Young Lunya Wasainiwa na Rockstar Africa

April 16, 2022
PICHA ;Tamasha la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako  lafana Sumbawanga

PICHA ;Tamasha la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako lafana Sumbawanga

April 16, 2022

Kundi la Muziki la Navy Kenzo Lashika Namba Nne Katika Video 50 Zilizobamba Zaidi MTV Base Mwaka 2015,

January 2, 2016

Happy Birthday Daniela: Jose Chameleone

November 13, 2015
Load More
Next Post
SBL yazindua kampeni ya ‘Usitumie Kilevi na Kuendesha Chombo cha Moto’ mkoani Tanga

SBL yazindua kampeni ya ‘Usitumie Kilevi na Kuendesha Chombo cha Moto’ mkoani Tanga

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

June 30, 2022
Mwanadada Atapeliwa “Iphone Kisa Nafasi ya Kazi”

Mwanadada Atapeliwa “Iphone Kisa Nafasi ya Kazi”

June 28, 2022
NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

June 26, 2022
BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

June 30, 2022
WANANCHI WATAKIWA KUFIKA BANDA LA AKIBA COMMERCIAL BANK KATIKA MAONESHO YA SABASABA KUPATA HUDUMA

WANANCHI WATAKIWA KUFIKA BANDA LA AKIBA COMMERCIAL BANK KATIKA MAONESHO YA SABASABA KUPATA HUDUMA

June 30, 2022
NMB WASHIRIKI MKUTANO MKUU WA WAFANYAKAZI WENYE ULEMAVU DODOMA

NMB WASHIRIKI MKUTANO MKUU WA WAFANYAKAZI WENYE ULEMAVU DODOMA

June 30, 2022
Video ya Buga kufikisha Views M.11 Ndani ya Wiki Moja

Video ya Buga kufikisha Views M.11 Ndani ya Wiki Moja

June 30, 2022
CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

June 30, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In