• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Bongo Swaggz
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Mwanzo
  • Udaku
  • Mahusiano
  • Burudani
  • Michezo
  • Simulizi
  • Afya
  • Magazeti
No Result
View All Result
  • Mwanzo
  • Udaku
  • Mahusiano
  • Burudani
  • Michezo
  • Simulizi
  • Afya
  • Magazeti
No Result
View All Result
Bongo Swaggz
No Result
View All Result
Home BURUDANI

Albam yangu imekamilika asilimia 100 – Alikiba

PETER AKARO by PETER AKARO
January 12, 2021
in BURUDANI
0
Albam yangu imekamilika asilimia 100 – Alikiba
0
SHARES
17
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Msanii wa muziki Bongo, Alikiba amesema kuwa ishu ya kutoa albam kwa mwaka huu ipo kwa asilimia zaidi ya 100 na watu watarajie kuipata kabla haijafika mwezi wa sita.

Amesema imepita miaka zaidi ya 10 tangu alipotoa albam ya Alikiba For Real, hivyo anaona ni wakati sahihi sasa wa kukata kiu ya mashabiki wake waliosubiri kwa muda mrefu sasa.

Huku akiongeza kuwa maandalizi kuelekea kwenye jambo hilo yapo vizuri zaidi.Kiba aliliambia Championi Jumamosi kuwa:

ADVERTISEMENT

“Watu wamesubiri albam yangu kwa zaidi ya miaka 10, nafikiri sasa ni wakati sahihi wa kufanya jambo kwa watu wangu wa nguvu. Haitafika hata mwezi wa sita mzigo utakuwa sokoni.” alisema Alikiba.

Ikumbukwe Kiba ambaye anamiliki albam mbili, Cinderella ya mwaka 2007 na Alikiba For Real iliyotoka 2009, kwa sasa anatamba na mkwaju wa Nakupenda akiwa na Dj Sbu.

Previous Post

Vita yahamia Zanzibar, Simba na Yanga tena!

Next Post

Kusah aachia video mpya akiwa na Aunty Ezekiel

PETER AKARO

PETER AKARO

Next Post
Kusah aachia video mpya akiwa na Aunty Ezekiel

Kusah aachia video mpya akiwa na Aunty Ezekiel

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

  • Trending
  • Comments
  • Latest
New Music Yamoto Band ft Christian Bella – Wambea Download Hapa

New Music Yamoto Band ft Christian Bella – Wambea Download Hapa

January 31, 2020
Kwanini Mbuzi na Papai Vilionekana na Maambukizi ya Corona (COVID-19)? Mtaalamu wa Chuo Kikuu Atoa Ufafanuzi.

Kwanini Mbuzi na Papai Vilionekana na Maambukizi ya Corona (COVID-19)? Mtaalamu wa Chuo Kikuu Atoa Ufafanuzi.

May 11, 2020

Hayani Madhara ya Kutumia Dawa za Kuzuia Mimba (P2)

January 31, 2020

Audio: Professor Jay Ft. Sholo Mwamba – Kazi Kazi | Download

January 31, 2020

BABA YAKE DIAMOND AFUNGUKA ASEMA “DIAMOND SIO RIZIKI YANGU” CHEKI HAPA

32
BABA MDOGO AMEINGIA GAFLA CHUMBANI KWANGU NA KUNIKUTA UCHI NIKIVAA NGUO, SASA ANANISUMBUA ,ANATANITAKA

BABA MDOGO AMEINGIA GAFLA CHUMBANI KWANGU NA KUNIKUTA UCHI NIKIVAA NGUO, SASA ANANISUMBUA ,ANATANITAKA

28
Eti Huyu ndiye binti anayedai kubakwa na mume wa Flora Mbasha..Kwa Staili Hii No Comment

Eti Huyu ndiye binti anayedai kubakwa na mume wa Flora Mbasha..Kwa Staili Hii No Comment

28

DIAMOND PLATNUMZ APOST UJUMBE MZURI KULIKO YOTE ALIYOWAHI KUPOST MTANDAONI, USOME HAPA

26
Wadau wa michezo watakiwa kutumia mitandao vizuri

Wadau wa michezo watakiwa kutumia mitandao vizuri

January 21, 2021
Diamond apewa agizo na BASATA

Diamond apewa agizo na BASATA

January 21, 2021
Z Anto ajibu ishu ya ukaribu wake na Nicole Berry

Z Anto ajibu ishu ya ukaribu wake na Nicole Berry

January 21, 2021
VideoMPYA: Harmonize – Anajikosha

VideoMPYA: Harmonize – Anajikosha

January 21, 2021

Habari Mpya

Wadau wa michezo watakiwa kutumia mitandao vizuri

Wadau wa michezo watakiwa kutumia mitandao vizuri

2 hours ago
Diamond apewa agizo na BASATA

Diamond apewa agizo na BASATA

5 hours ago
Z Anto ajibu ishu ya ukaribu wake na Nicole Berry

Z Anto ajibu ishu ya ukaribu wake na Nicole Berry

6 hours ago
VideoMPYA: Harmonize – Anajikosha

VideoMPYA: Harmonize – Anajikosha

6 hours ago
Bongo Swaggz

Bongo Swaggz

Bongo Swaggz ni blogu ya kijamii inayokuletea habari mbalimbali za udaku, michezo na burudani, mziki, simulizi, makala, afya na mahusiano kutoka ndani na nje ya nchi.

Follow Us

Habari za kila siku

January 2021
M T W T F S S
« Dec    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031

Habari Mpya

Wadau wa michezo watakiwa kutumia mitandao vizuri

Wadau wa michezo watakiwa kutumia mitandao vizuri

January 21, 2021
Diamond apewa agizo na BASATA

Diamond apewa agizo na BASATA

January 21, 2021
Z Anto ajibu ishu ya ukaribu wake na Nicole Berry

Z Anto ajibu ishu ya ukaribu wake na Nicole Berry

January 21, 2021
VideoMPYA: Harmonize – Anajikosha

VideoMPYA: Harmonize – Anajikosha

January 21, 2021
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2020 Bongo Swaggz | Powered by Koncept

No Result
View All Result
  • Mwanzo
  • Udaku
  • Mahusiano
  • Burudani
  • Michezo
  • Simulizi
  • Afya
  • Magazeti

© 2020 Bongo Swaggz | Powered by Koncept