Msanii wa muziki Kusah ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Mama Lao ukiwa ni wakwanza kwa mwaka huu kutoka kwake.
Katika video ya wimbo huo ameonekana mzazi mwenzie, Aunty Ezekiel ambaye ni msanii wa filamu nchini. Itazame hapa kwa mara ya kwanza.