ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, February 9, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    MUSWADA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE KIKWAZO TENA

    MUSWADA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE KIKWAZO TENA

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Februari 9,2023

    KOPYUTA MPAKATO YALIPUKA NDANI YA NDEGE

    KOPYUTA MPAKATO YALIPUKA NDANI YA NDEGE

    GOLIKIPA TIMU YA TAIFA UTURUKI AKUTWA AMEFARIKI

    GOLIKIPA TIMU YA TAIFA UTURUKI AKUTWA AMEFARIKI

    MKE WA DR MWAKA AOMBA SERIKALI IMSAIDIE

    MKE WA DR MWAKA AOMBA SERIKALI IMSAIDIE

    NMB KUWAPELEKA DUBAI WASHINDI 7 WA KAMPENI YA NMB MastaBata Kote Kote

    NMB KUWAPELEKA DUBAI WASHINDI 7 WA KAMPENI YA NMB MastaBata Kote Kote

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Wanahisa wa Benki ya CRDB waidhinisha Gawio la Shilingi 22 kwa hisa kufuatia ongezeko la faida kwa 37.5% mwaka 2020

admin by admin
April 16, 2022
in Uncategorized
Reading Time: 7 mins read
A A
0
Wanahisa wa Benki ya CRDB waidhinisha Gawio la Shilingi 22 kwa hisa kufuatia ongezeko la faida kwa 37.5% mwaka 2020
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha gawio la shilingi 22 kwa hisa lililopendekezwa na Bodi ya Wakurugenzi ya benki hiyo katika Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa uliofanyika kidijitali siku ya jumamosi tarehe 22 Mei, 2021. Gawio ambalo ni ongezeko la asilimi 29.4 ya gawio liloidhinishwa mwaka jana, linatokana na matokeo mazuri ya kifedha ya benki hiyo katika mwaka wa fedha 2020 ambapo ilitangaza faida baada ya kodi ya Shilingi bilioni 165.2 licha ya changamoto zilizoletwa na COVID19.

Akiwasilisha taaarifa yake, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay alielezea kuwa utendaji endelevu na mabadiliko ya kimkakati yanayoendelea ndani ya benki hiyo yamesaidia kufungua uwezo wa Benki, katika kuwahudumia wateja na kusaidia kuweka mazingira mazuri ya biashara. Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, utendaji wa Benki ya CRDB umeendelea kuimarika na kufanya uwekezaji wa wanahisa wake kuwa watija zaidi.“Licha ya changamoto ambazo tulikutana nazo 2020, tulijidhatiti katika kuhakikisha wanahisa wetu wanapata faida kutokana na uwekezaji wao kama inavyojionyesha katika mapato kwa kila hisa. Tulipendekeza gawio la Shilingi 22 kwa kila hisa na ninafurahi kuwa julisha kuwa wanahisa wameliidhinisha, ”alisema Dk Laay.

Aliongeza: “jumla ya gawio lililopendekezwa ni Shilingi bilioni 58, ambalo linaashiria ukuaji wenye nguvu na maendeleo katika mapato kwa kila hisa na gawio kwa kila hisa. Ninapenda kuwajulisha kuwa Wanahisa wa Benki pia waliidhinisha Kampuni ya Ukaguzi wa Hesabu Ernst & Young kuwa Wakaguzi wetu wa nje wa mwaka fedha 2021, ikiashiria imani yetu katika utekelezwaji wao na kuendelea kwa Benki kufuata misingi ya utawala bora ”, alisema Dkt. Laay.

Dkt. Laay pia alibainisha kuwa katika kipindi cha mwaka jana, Benki ilipata mjumbe mpya wa Bodi, Bi. Ellen Gervas Rwijage, ambaye alijiunga na Bodi kama mwakilishi wa Mfuko wa Uwekezaji wa DANIDA (DIF), ambao una miliki hisa 21% ndani ya Benki.

Aliwaarifu pia Wanahisa kwamba Bi. Esther Kitoka, ambaye alikuwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji aliondoka Benki na Bruce Mwile alichaguliwa kuziba nafasi hiyo. Kabla ya kuchaguliwa kwake, Bwana Mwile alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa tanzu ya Benki ya CRDB Burundi.

Wakati huo huo wanahisa wa Benki waliidhinisha mabadiliko ya katiba yaliyopendekezwa na Bodi ya Wakurugezi, na pia walipiga kura kuchagua wajumbe wawili wa bodi ambapo Prof Faustine Bee ilichaguliwa kwa mara ya pili kuwakilisha wanahisa wenye umiliki chini ya 1% na Gerald Kasatualichaguliwa kuwakilisha wanahisa wenye hisa kati ya 1% na 10%. Prof. Bee ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), wakati Gerald Kasatu ni Afisa Mkuu wa Uwekezaji katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF, Uganda.Katika taarifa yake, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alibainisha kuwa mapato ya Benki ya CRDB na kampuni zake yaliongezeka sana licha ya kushuka kwa uchumi kwa sababu ya Janga la COVID-19. Mapato ya uendeshaji yalisajili ukuaji wa asilimia 10.4 kufikia Shilingi bilioni 854 kulinganisha na Shilingi 774 zilizoripotiwa mwaka uliopita.

“Mkakati wetu wa kusaidia wateja wakati wa janga hilo kwa kiasi kikubwa ulitusaidia kuboresha mipango yetu ya biashara ili kuendana na mabadiliko,” alisema Nsekela. 

Nsekela pia alisema kuwa mabadiliko ambayo benki hiyo imekuwa ikiyafanya yameendelea kuleta matokeo chanya, huku akibainisha kuwa katika kipindi cha mwaka jana Benki ya CRDB iliwekeza kwa kiasi kikubwa katika mfiumo ya kidijitali. Uwekezaji huu ulipelekea kukua kwa idadi ya wateja wanaotumia njia za kidijitali, ambapo asilimia 87 ya miamala yote ilifanyika kidijitali.Kukua kwa faida ya Benki ya CRDB, kulichangiwa pia na matokeo mazuri ya kifedha ya kampuni zake tanzu, ambazo zilichangia asilimia 7 ya faida baada ya kodi kwa jumla. Kampuni tanzu ya Benki ya CRDB Burundi ilirekodi ongezeko la faida kwa asilimia 75 kutoka Shilingi bilioni 6.4 hadi Shilingi bilioni 11.2. Kwa upande wake, Kampuni tanzu ya bima, CRDB Insurance Broker Limited, ilipata faida ya Shilingi bilioni 3.6 ikiwa ni ukuaji wa asilimia 140.

Akizungumzia mipango ya baadae ya Benki ya CRDB, Nsekela alisema malengo ya muda mrefu ya Benki ya CRDB ni kujenga benki iliyo tayari siku zijazo ambayo itaongoza kwa uvumbuzi na ubunifu wa huduma bora za kifedha. Mkakati wa Benki hiyo wa mwaka 2021 unakusudia kufungua uwezo kamili wa Benki ya CRDB na kampuni zake tanzu kwa kuimarisha ufanisi wa huduma kwa wateja.

Nsekela pia alifunua kuwa Benki hiyo inaagazia kupanua wigo wa huduma zake katika masoko mapya na kwa sasa ipo katika hatua za mwisho za kufungua tawi katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mkurugenzi Mtendaji huyo alisema kampuni tanzu ya Benki ya CRDB DRC Congo itasaidia kuimarisha biashara kati ya ya Tanzania na nchi hiyo jirani. “Lengo letu ni kuimarisha ushiriki wa benki yetu katika kuunganisha nchi zilizopo katika Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati na kufungua fursa za kiuchumi,” aliongeza Nsekela.Akizungumza wakati wa Mkutano huo Mkuu wa Wanahisa, Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa Benki ya CRDB ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo na Mwanahisa wa Benki hiyo, Dkt. Charles Kimei aliipongeza menejimenti na wafanyakazi kwa kazi nzuri wanayoifanya ambayo imepelekea ukuaji mzuri katika viashiria vyote muhimu vya utendaji katika kipindi cha mwaka wa fedha 2020. Aliihakikishia Bodi na Menejimenti kuwa wanahisa wana imani nao na wataendelea kushirikiana nao kikamilifu.

“Kipekee kabisa nimpongeze Mkurugenzi Mtendaji wetu Abdulmajidi Nsekela kwa kuonyesha uongozi imara, kwa kawaida ni ngumu kupata mafanikio ambayo ameyapata katikati ya janga COVID19, lakini kwa uongozi wake thabiti leo hii tunaurahia ongezeko la gawio, ”aliongeza Nsekela.

Mkutano Mkuu wa 26 wa Benki ya CRDB ulikuwa wa kihistoria ambapo kwa mara ya kwanza wanahisa walishiriki kwa njia ya mseto, ambapo wengine walihudhuria katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Zaidi ya wanahisa 1,400 walishiriki Mkutano Mkuu huo wa mseto baada ya mafanikio ya Mkutano Mkuu wa 25 mwaka jana.

ADVERTISEMENT
Previous Post

Washindi wiki ya nane Sherehekea Pesa wajizolea pesa

Next Post

Waziri Ndalichako awakabidhi Tigo Tuzo ya udhamini wa Kongamano la wiki ya Ubunifu Tanzania

admin

admin

RelatedPosts

NMB WAZINDUA  KAMPENI YA “UMEBIMA TELEZA NA HII”ZANZIBAR
Uncategorized

NMB WAZINDUA KAMPENI YA “UMEBIMA TELEZA NA HII”ZANZIBAR

by iamkrantz
February 9, 2023
0

  Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi - Idrissa Kitwana Mustafa na Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya...

Read more
NMB KUWAPELEKA DUBAI WASHINDI 7 WA KAMPENI YA NMB MastaBata Kote Kote

NMB KUWAPELEKA DUBAI WASHINDI 7 WA KAMPENI YA NMB MastaBata Kote Kote

February 8, 2023
NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima

January 31, 2023
Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

January 25, 2023
Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

January 25, 2023
MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

January 23, 2023
Load More
Next Post
Waziri Ndalichako  awakabidhi Tigo  Tuzo ya udhamini wa Kongamano la wiki ya Ubunifu Tanzania

Waziri Ndalichako awakabidhi Tigo Tuzo ya udhamini wa Kongamano la wiki ya Ubunifu Tanzania

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

February 6, 2023
Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

August 18, 2022
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

February 7, 2023
KOPYUTA MPAKATO YALIPUKA NDANI YA NDEGE

KOPYUTA MPAKATO YALIPUKA NDANI YA NDEGE

February 8, 2023
MUSWADA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE KIKWAZO TENA

MUSWADA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE KIKWAZO TENA

February 9, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Februari 9,2023

February 9, 2023
NMB WAZINDUA  KAMPENI YA “UMEBIMA TELEZA NA HII”ZANZIBAR

NMB WAZINDUA KAMPENI YA “UMEBIMA TELEZA NA HII”ZANZIBAR

February 9, 2023
MO DEWJI AIWAKIA VUNJABEI KUONDOSHA MATANGAZO YA MO JEZI MPYA

MO DEWJI AIWAKIA VUNJABEI KUONDOSHA MATANGAZO YA MO JEZI MPYA

February 8, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In