ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, August 11, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    UGENI KUTOKA NIGERIA WAWASILI NCHINI KUJIFUNZA MASUALA YA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA

    Serikali yatenga Bilioni 11.3/- kuweka lami na viwanda vidogo Njombe Mji

    NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

    Air Tanzania yaitakia Kenya Uchaguzi wa Amani

    Rais Samia Awataka Wafanyakazi Hospitali Kuongeza Bidii Kuokoa Maisha ya Watu

    Benki ya NBC yadhamini Milioni 10  Mashindano ya Golf

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

TIGO NA INFINIX WAZINDUA SIMU MPYA MSIMU WA SABASABA

admin by admin
April 16, 2022
in Uncategorized
Reading Time: 3 mins read
A A
0
TIGO NA INFINIX WAZINDUA SIMU MPYA MSIMU WA SABASABA
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

INAKUJA NA OFA: “Simu hii aina ya Infinix Hot 10i inakuja na bei ya Ofa pamoja na GB 78 bureee za kutumia mwaka mzima, ikiwa ni zawadi yetu kwako katika msimu huu wa Sabasaba” Aisha Karupa – Afisa mahusiano Infinix
.

APP YOYOTE! “Infinix Hot 10i imetengenezwa na kupewa uwezo wa kuendesha App yoyote, ikiwemo games za aina mbalimbali” Blass Abdon – Mtaalamu wa bidhaa za Kidigitali, Tigo.
@infinixmobiletz

 Leo tarehe 6 Julai 2021 , Kampuni namba moja ya huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo pamoja na Kampuni ya Simu za mkononi Infinix  wametambulisha simu mpya ya 4G aina ya Infinix HOT 10i. 

Akizungumza wakati wa kutambulisha simu hiyo Mtaalam wa Vifaa vya Mawasiliano kutoka kampuni ya Tigo Bwana Brass Abdon  amesema simu iyo itapatikana kwenye maduka ya Tigo na Infinix Nchi Nzima kwa bei ya Shilingi Laki tatu,  huku ikiwa na Ofa ya Intaneti ya GB 78 kwa mwaka, na kusisitiza juu ya dhamira ya Kampuni ya Tigo kuleta simu hizi nzuri na za kisasa ni kuhakikisha wateja wake wanakwenda kwenye mawasiliano ya Kidigital na kutimiza dhamira ya serikali ya kuhakikisha kwamba kufikia mnamo 2025 asilimia 80 ya vifaa vya mawasiliano vinakidhi TEHAMA kwa mfumo wa Kiserikali. 

Kwa upande mwingine Afisa Mahusiano Infinix Bi. Aisha Karupa amewapongeza Tigo kwa kuendelea kuwa nao bega kwa bega,

“Infinix HOT 10i ni simu ambayo ni rafiki kuanzia bei yake hadi utumiaji , lakini pia simu hii ina kamera mbili (Main Camera ikiwa na Mega Pixels 13 na flash nne,  huku camera ya mbele ikiwa na Mega pixels 8 na flash)  zitakazomfanya mtumiaji kupiga picha nzuri wakati na mahala popote,  lakini pia ina storage kubwa Ya 32 GB na RAM GB 2,  Vile vile inauwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu sana hata kwa zaidi ya siku 2, huku ikiwa na processor bora itayomwezesha mtumiaji kucheza game na kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja maana pia ina kioo kikubwa cha 6.52, nawashauri Watanzania hasa katika msimu huu wa sabasaba watembelee banda la Tigo Infinix tupo hapa kuwahudumia” Alisema Bi Aisha. 

Kufahamu zaidi Tafadhali tembelea kurasa zao za kijamii Tigo na Infinix.

ADVERTISEMENT
Previous Post

WASHINDI WA DROO KUBWA YA SHEREKEA NA TIGOPESA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Next Post

SHILINGI MILIONI 40 KUSHINDANIWA CRDB BANK TAIFA CUP 2021

admin

admin

RelatedPosts

NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini
BUSINESS NEWS

NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

by admin
August 10, 2022
0

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biasharawa NMB- Bw. Filbert Mponzi(katikati) akizungumza kwenye maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika jijini Mbeya....

Read more
Hii ndio tiba ya kuondoa mikosi maishani yenye uhakika zaidi

August 9, 2022
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AIPONGEZA BENKI YA CRDB, AHITIMISHA MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

August 8, 2022
NMB Mshiko Fasta kuwanufaisha wakulima

NMB Mshiko Fasta kuwanufaisha wakulima

August 7, 2022
Benki ya NMB yaahidi kuendelea kutoa mikopo kwa wawekezaji  sekta ya nishati nchini

August 5, 2022
Load More
Next Post
SHILINGI MILIONI 40 KUSHINDANIWA CRDB BANK TAIFA CUP 2021

SHILINGI MILIONI 40 KUSHINDANIWA CRDB BANK TAIFA CUP 2021

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

August 8, 2022
Rais Samia Awasili Mbeya Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi Jengo Jipya la Mama Na Mtoto

Rais Samia Awasili Mbeya Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi Jengo Jipya la Mama Na Mtoto

August 5, 2022
SERIKALI ZANZIBAR YAWEKA MKAZO KULIFANYIA MAZURI JESHI LA POLISI ZANZIBAR

SERIKALI ZANZIBAR YAWEKA MKAZO KULIFANYIA MAZURI JESHI LA POLISI ZANZIBAR

August 5, 2022
Benki ya NBC yadhamini Milioni 10  Mashindano ya Golf

Benki ya NBC yadhamini Milioni 10 Mashindano ya Golf

August 10, 2022
Naibu Spika Zungu Achukua Kits Tayari kwa Kushiriki CRDB Marathon Msimu wa 3

August 11, 2022
SIMBA SC YAENDELEZA MAANDALIZI MCHUANO WA NGAO YA JAMII

Magwiji wa Soka Waonesha Soka la Pila Biriani uwanja wa Shule ya St.Costantine, Arusha

Magwiji wa Soka Waonesha Soka la Pila Biriani uwanja wa Shule ya St.Costantine, Arusha

August 11, 2022
UGENI KUTOKA NIGERIA WAWASILI NCHINI KUJIFUNZA MASUALA YA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA

UGENI KUTOKA NIGERIA WAWASILI NCHINI KUJIFUNZA MASUALA YA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA

August 11, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In