ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

SHILINGI MILIONI 40 KUSHINDANIWA CRDB BANK TAIFA CUP 2021

admin by admin
April 16, 2022
in Uncategorized
Reading Time: 6 mins read
A A
0
SHILINGI MILIONI 40 KUSHINDANIWA CRDB BANK TAIFA CUP 2021
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Dar es Salaam 7 Oktoba 2021 – Timu 32 za mikoa za mpira wa kikapu zinatarajiwa kuchuana vikali katika mashindano ya mpira wa kikapu “CRDB Bank Taifa Cup” yanayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma kuanzia tarehe 5 hadi 14 Novemba 2021 ambapo jumla ya zawadi za shilingi milioni 29 zitashindaniwa.

Akitangaza zawadi hizo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alisema kuongezeka kwa zawadi katika CRDB Bank Taifa Cup mwaka huu kunatokana na kuongeza udhamini wa Benki hiyo katika mashindano hayo kufikia shilingi milioni 300. “Tumeona tuongeze zawadi mwaka huu ili kuongeza ushindani kwa timu na vijana watakaoshiriki. Tunaamini kuongezeka kwa zawadi kutakuwa na motisha kwa vijana kuonyesha vipaji vyao.”

Nsekela alisema Benki ya CRDB imeendelea na uamuzi wake wa kudhamini ligi hiyo ya taifa ya mpira wa kikapu kwa mara ya pili mfululizo ikiwa ni sehemu ya jitihada za benki hiyo kuwawezesha vijana wa Kitanzania kupitia michezo. Aliongeza kuwa Benki ya CRDB kupitia Sera yake ya Uwekezaji katika Jamii (CSI Policy) imekuwa ikiwekeza katika michezo ya vijana kwa kuamini kuwa inasaidia kuongeza ushiriki wao katika shughuli mbalimbali za maendeleo katika jamii.

Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa CRDB Bank Taifa Cup 2021, Naibu Spika wa Bunge la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson aliipongeza Benki ya CRDB kwa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kusaidia jitihada za serikali kuendeleza michezo nchini. Dkt. Tulia alisema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeweka kipaumbele kikubwa katika michezo kwa kutambua fursa za kiuchumi zinazotokana na sekta hiyo.

“Niwapongeze pia kwa kuona umuhimu wa kuongeza timu za wanawake zinazoshiriki CRDB Bank Taifa Cup mwaka huu kufikia 16. Kwa miaka mingi ushiriki wa wanawake katika michezo huu umekuwa chini ikilinganishwa na wavulana. CRDB Bank Taifa Cup inakwenda kubadilisha sura hii na kuwapa nguvu wasichana wote wanaotamani kushiriki katika mpira wa kikapu,” alisema Dkt. Tulia.
Dkt. Tulia pia alizipongeza kampuni na taasisi za GSM, Sanlam, Azam, PSSF, Tulia Trust na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kuungana na Benki ya CRDB kusaidia kuandaa mashindano hayo ambayo yamepewa kaulimbiu ya “Ni Zaidi ya Game, Ni Maisha,” ikionyesha namna ambavyo mpira wa kikapu unavyoweza kutumika kutengeneza fursa za ajira kwa vijana na kuwawezesha kiuchumi.

Kwa upande wake Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania(TBF), Phares Magesa aliishukuru Benki ya CRDB kwa kuendelea na udhamini wa ligi hiyo huku akibainisha kuwa udhamini wa Benki hiyo kubwa hapa nchini umesaidia kuongeza hamasa na mapenzi ya mpira wa kikapu kwa vijana kama ilivyo kwa mpira wa miguu na michezo mingine.

Phares alimueleza Dkt. Tulia kuwa mbali na udhamini unaotolewa na Benki ya CRDB, benki hiyo imekuwa ikishiriki katika kila hatua kuhakikisha mashindano hayo yanafakiwa ikiwamo na kusaidia kushawi taasisi nyengine kushiriki kufanikisha mashindano hayo. “Tunapowapongeza GSM, Sanlam, Azam, PSSF, Tulia Trust na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kudhamini mashindano haya tuwapongeze Benki ya CRDB mara mbili kwa kuwashawishi kushirikiana nasi.”

Naye Msimamizi wa vipindi vya michezo Azam TV, Michael Maluwe amewataka Watanzania kuanza kufuatilia CRDB Bank Taifa Cup 2021 kupitia chaneli ya michezo ya Azam Sports 2, ambapo kimeanzishwa kipindi maalum kuelekea mashindano hayo ya mpira wa kikapu. “Azam TV itaweka kambi Dodoma kuwaletea burudani Watanzania wote kuelekea mashindano haya, niwakaribishe Watanzania tujiunge na Azam TV ili kuwashangilia vijana wetu,” alisema Maluwe.

Mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup mwaka jana yalifanyika mkoa wa Dodoma katika viwanja vya Chinangali na uwanja wa Jamhuri ambapo vijana 900 kutoka kutoka mikoa yote Tanzania bara na visiwani walishiriki. Katika mashindano hayo timu ya mpira wa kikapu ya mkoa wa Mbeya iliibuka mshindi katika michuano hiyo.

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akirusha mpira golini kuashiria uzinduzi wa mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup 2021, yanayotarajiwa kuanza Novemba 5, kwenye viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma, Uzindizi huo umefanyika leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Wanaoshuhudia pichani kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, Afisa Biashara Mkuu wa GSM, Allan Chonjo, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania, Phares Magesa na Mwenyekiti wa CRDB Bank Foundation, Martin Warioba. Picha zote na Othman Michuzi.

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wapili kushoto), Afisa Biashara Mkuu wa GSM, Allan Chonjo (wakwanza kushoto), Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania, Phares Magesa (wapili kulia) na Mwenyekiti wa CRDB Bank Foundation, Martin Warioba (wakwanza kulia) wakiwa wameshikilia mpira wakati wa uzinduzi wa mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup 2021, yanayotarajiwa kuanza Novemba 5, kwenye viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma, Uzindizi huo umefanyika leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

— Sent from Gmail Mobile

ADVERTISEMENT
Previous Post

TIGO NA INFINIX WAZINDUA SIMU MPYA MSIMU WA SABASABA

Next Post

Benki ya CRDB yazindua kampeni kuhamasisha Watanzania kutumia huduma na bidhaa bunifu za benki hiyo kufanikisha malengo yao 2022

admin

admin

RelatedPosts

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima
Uncategorized

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima

by iamkrantz
January 31, 2023
0

Kutoka Kushoto: Mkuu wa Idara ya Bima - Benki ya NMB, Martine Massawe; Kamishna wa Bima nchini, Dkt. Baghayo Saqware;...

Read more
Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

January 25, 2023
Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

January 25, 2023
MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

January 23, 2023
NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

January 23, 2023
Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

January 23, 2023
Load More
Next Post

Benki ya CRDB yazindua kampeni kuhamasisha Watanzania kutumia huduma na bidhaa bunifu za benki hiyo kufanikisha malengo yao 2022

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

February 6, 2023
Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

August 18, 2022
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

February 2, 2023
HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

February 7, 2023
DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

February 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

February 7, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

February 7, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In