Msanii Ten Ballz kutoka Kenya amesema ataongea na wahusika wa muziki wa Kenya kumvuta Steve Nyerere kuwa msemaji wao.
“Nitaongea na wahusika wa Industry ya Kenya kama tunaweza kumvuta, acha aje Kenya tuna pesa. Aje kuongelea mziki wetu kwa sababu hatuna muongeaji”.
Credit : East Africa Radio