ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Sunday, July 3, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

    Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

    SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

    SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

    COSTECH YAJIPANGA KUONYESHA BUNIFU MPYA SABASABA 2022

    COSTECH YAJIPANGA KUONYESHA BUNIFU MPYA SABASABA 2022

    CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

    CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

    PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

    PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

    BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

    BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

VODACOM TANZANIA PLC  KUKUZA MATUMIZI YA TEHAMA

BAADA YA UWEKEZAJI WA DOLA ZA KIMAREKANI  MILIONI 10 (Tsh BILIONI 23.2) KWENYE MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022

iamkrantz by iamkrantz
April 20, 2022
in BUSINESS NEWS, NEWS
Reading Time: 7 mins read
A A
0
VODACOM TANZANIA PLC  KUKUZA MATUMIZI YA TEHAMA
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Mhandisi, Peter Ulanga wakisaini mkataba wa kununua huduma za mkongo wa Taifa kati ya Vodacom Tanzania na Mkongo wa Taifa (NICTBB) wenye uwezo wa 10Gps na thamani ya bilioni 23.2, mkataba huo umesainiwa jijini Dar es salaam. Wanaoshuhudia nyuma katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonaz, kushoto ni Mkurugenzi wa Sheria wa TTCL, Anita Moshi na kulia ni Mkurugenzi wa Sheria wa Vodacom Tanzania PLC, Olaf Mumburi  Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Mhandisi, Peter Ulanga wakibadilishana mkataba wa kununua huduma za mkongo wa Taifa kati ya Vodacom Tanzania na Mkongo wa Taifa (NICTBB) wenye uwezo wa 10Gps na thamani ya bilioni 23.2, mkataba huo ulisainiwa jijini Dar es salaam. Wanaoshuhudia nyuma kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonaz na Mkurugenzi wa Sheria wa TTCL, Anita Moshi Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose akizungumza kwenye hafla ya kusaini mkataba wa kununua huduma za mkongo wa Taifa kati ya Vodacom Tanzania na Mkongo wa Taifa (NICTBB) wenye uwezo wa 10Gps na thamani ya bilioni 23.2, mkataba huo ulisainiwa jijini Dar es salaam. Wengine ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonaz (katikati) na Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Mhandisi. Peter Ulanga

Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Mhandisi, Peter Ulanga akizungumza kwenye hafla ya kusaini mkataba wa kununua huduma za mkongo wa Taifa kati ya Vodacom Tanzania na Mkongo wa Taifa (NICTBB) wenye uwezo wa 10Gps na thamani ya bilioni 23.2, mkataba huo ulisainiwa jijini Dar es salaam. Wengine ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose (kulia) na Katibu Mkuu wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonaz

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonaz akizungumza kwenye hafla ya kusaini mkataba wa kununua huduma za mkongo wa Taifa kati ya Vodacom Tanzania na Mkongo wa Taifa (NICTBB) wenye uwezo wa 10Gps na thamani ya bilioni 23.2, mkataba huo ulisainiwa jijini Dar es salaam. Wengine ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Mhandisi. Peter Ulanga

Vodacom Tanzania PLC imesaini mkataba na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano (NICTBB) wenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 4.59 (sawa na Shilingi Bilioni 10.6 za Kitanzania), utakaoiwezesha kampuni hiyo kutumia miundombinu ya mkongo inayomilikiwa na serikali ili kuongeza mawasiliano vijijini katika hafla iliyofanyika leo Makao Makuu ya TTCL jijini Dar es Salaam.

Uwekezaji huu unakuja baada ya uwekezaji wa awali wa Dola za Marekani 6,223,500(sawa na Shilingi Bilioni 14.5 za Kitanzania) uliofanyika mwezi Oktoba 2021 na unatazamiwa kupeleka mtandao wa kasi katika maeneo ya vijijini ili kufikia maeneo mengi zaidi ya nchi ambayo bado hayajahudumiwa. Kwa kuongeza ufikiaji wa mtandao katika maeneo ya pembezoni ya nchi, wananchi wengi zaidi wataweza kufikia vifaa vya kidijitali, kama vile huduma za afya, utoaji wa elimu na kupata habari za kilimo na pia kuendeleza ukuaji wa ujumuishaji wa huduma za kifedha kitaifa.

Mkataba huo ulisainiwa kati ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation), Mhandisi Peter Rudolph Ulanga na Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Sitholizwe Mdlalose unalenga kuboresha mawasiliano ya simu na data za Vodacom katika mikoa ya kanda ya ziwa, kati na kusini mwa Tanzania katika harakati za kuibadilisha nchi kuwa ya watu wenye maarifa kupitia matumizi ya TEHAMA (ICT).

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Jim Yonaz ambaye alishuhudia utiaji saini mkataba huo alisema “Dira ya Serikali ni kukuza TEHAMA (ICT) ambapo serikali inatekeleza mkakati wa kuhakikisha asilimia 80 ya wananchi wanaunganishwa kidijitali ifikapo 2025. Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano utatufikisha karibu na lengo hili. Tumejitolea katika hili kwa sababu tunataka kuhakikisha Watanzania wote wanapata fursa ya kufurahia manufaa ya kuunganishwa kidijitali. Tunatambua jukumu muhimu la makampuni ya simu za mkononi katika kuifikia jamii. Tunaishukuru Vodacom Tanzania na ushirikiano wake katika kutumia rasilmali hii ambayo nchi imewekeza na kuwezesha kuwafikia Watanzania”.

Akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini huo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Sitholizwe Mdlalose alisema, “Vodacom Tanzania inalenga kubadilisha nchi kuwa ya watu wenye maarifa kupitia matumizi ya TEHAMA huku tukipunguza mtawanyiko wa kidijitali pamoja na kuimarisha uwezo wa kiushindani wa watoa huduma ya data na sauti nchini. Ushirikiano huu unakuja ili kusisitiza dhamira yetu kama kampuni  katika kukabiliana na ongezeko la mahitaji ya huduma za kidijitali nchini.”

Vodacom Tanzania PLC imekuwa mdau mkuu wa matumizi ya miundombinu ya NICTBB tangu mwaka 2012, mkataba wa kukodisha wenye thamani zaidi ya dola za Kimarekani milioni 50 uliosainiwa tangu mwaka 2012. Katika kipindi cha miaka mitano TTCL ambao wanasimamia NICTBB imefanya kazi na kampuni ya mawasiliano nchini kwa matumizi hayo ya miundombinu ya mkongo kama mdau mkuu katika matumizi ya NICTBB.

Akifafanua kuhusu utoaji wa huduma kwenye Mkongo wa Taifa, Sitholizwe aliendelea kusema, “Kama kampuni ya huduma za teknolojia, Vodacom Tanzania inategemea mtandao wa kasi ili kufikisha huduma muhimu za kijamii na kibiashara nchini. Tumeanzisha huduma za kifedha kwa kutumia jukwaa letu la M-Pesa, tuko mstari wa mbele katika kutoa maudhui ya elimu kwenye tovuti yetu ya E-Fahamu pamoja na programu yetu iliyozinduliwa hivi majuzi ya m-mama ambayo inafanya kazi ya kupunguza vifo vya uzazi na watoto nchini. Vodacom pia imeanza kushirikiana na wizara mbalimbali pamoja na taasisi za serikali, kama vile TRA, TARURA, TANESCO na Mamlaka za Maji za Mikoa mbalimabli ili kufikisha huduma za kidijitali kwa taifa. Tunafurahia sana kuwa na kituo hiki cha kutuwezesha kusambaza huduma hizi kwa manufaa ya Watanzania wengi zaidi.”

Mhandisi Peter Rudolph Ulanga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) anayesimamia NICTBB kwa niaba ya Serikali alisema, “Tunafurahi kuona waendeshaji wengi wanatumia NICTBB kwani miundombinu ilitengenezwa kwa lengo kuu la kusaidia nchi kutambua agenda ya TEHAMA. Ninaamini miundombinu iliyokodishwa kwa Vodacom itaimarisha matumizi ya TEHAMA kwa maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa huduma za kielektroniki za serikali, elimu ya kidijitali, afya ya kielektroniki, biashara ya kielektroniki na mengine mengi ndani na nje ya nchi”.

Mhandisi Ulanga aliendelea kueleza dhamira yake ya kutanguliza ubora wa huduma, “Kama watoa huduma, tutahakikisha tunatoa rasilmali bora kwa wadau wote wa mawasiliano nchini.

Tags: VODACOM
ADVERTISEMENT
Previous Post

‘Wonder’ ya Diamond yapiga sekunde 59 bila ‘view’ YouTube, Harmonize akiweka rekodi ya sekunde 24 na ‘views’ 1.3M

Next Post

Pablo Anena Ushindi Dhidi ya Orlando Kisha Aguna “Tumejiweka Pazuri ila Kwao mmh”

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
BUSINESS NEWS

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

by admin
July 2, 2022
0

Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Ruvuma, Bakari Ally Mketo akikata utepe kuzindua moja ya matrekta yanayotolewa na benki ya Benki...

Read more
SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

July 1, 2022
COSTECH YAJIPANGA KUONYESHA BUNIFU MPYA SABASABA 2022

COSTECH YAJIPANGA KUONYESHA BUNIFU MPYA SABASABA 2022

June 30, 2022
TRA Yakaribisha Wananchi Kutembelea Banda Lao Maonyesho Ya Sabasaba

TRA Yakaribisha Wananchi Kutembelea Banda Lao Maonyesho Ya Sabasaba

June 30, 2022
CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

June 30, 2022
PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

June 30, 2022
Load More
Next Post
Pablo Anena Ushindi Dhidi ya Orlando Kisha Aguna “Tumejiweka Pazuri ila Kwao mmh”

Pablo Anena Ushindi Dhidi ya Orlando Kisha Aguna "Tumejiweka Pazuri ila Kwao mmh"

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

July 2, 2022
MFAUME AMKALISHA ABDULMONEM SAID ROUND YA 2 TU

MFAUME AMKALISHA ABDULMONEM SAID ROUND YA 2 TU

July 1, 2022
PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

June 30, 2022
Mwanadada Atapeliwa “Iphone Kisa Nafasi ya Kazi”

Mwanadada Atapeliwa “Iphone Kisa Nafasi ya Kazi”

June 28, 2022
RADHANi NGODA ” MIMI NDIE MTANGAZAJI PEKEE WA FAINALI MAGOLI 6″

RADHANi NGODA ” MIMI NDIE MTANGAZAJI PEKEE WA FAINALI MAGOLI 6″

July 3, 2022
ALI KAMWE “MPIRA UNAHITAJI PESA”

ALI KAMWE “MPIRA UNAHITAJI PESA”

July 3, 2022
YANGA YACHUKUA UBINGWA MICHUANO YA AZAM

YANGA YACHUKUA UBINGWA MICHUANO YA AZAM

July 3, 2022
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

July 2, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In