Hakuna binadamu asiekosea huku duniani hata watumishi wa Mungu wanakosea kwakua ni binadamu tu , Lakini Mungu anawainua tena ili kutulisha Neno .
Mimi huyu ata kama unipendi, unanichukia tu au vile unavyoamini kwa kusikia habari yangu na kujivalisha chuki juu yangu namuomba Mungu akusamehe akujaze baraka uishi maisha marefu ili unione mimi kama Ushuhuda wako na siku moja utashuhudia popote
Ilo swala la kukoment kila siku kua mimi nimemuuaa mwanangu saiv nakula raha sina muda wakujielezea Mungu ananijua na unaeamini amini tu na msizani ndo fimbo ya kunirudisha nyuma nilie. MACHOZI SASA BASI 🙏
MIMI NI USHUHUDA UNAOISHI , MAPITO YANGU MENGI YALIPITA MBELE YENU NA HATA BAADHI MLIJUA SITAISHI NTAKUFA , ILA KUNA MUWEZA WA YOTE ALIYE HAI ALINIKUMBATIA HUYU NI YESU 🙏🙌🏼
NAJIVUNIA YESU KUNITUMIA ,
KUNIADHIBU
KUNISAMEHE NA KUNILINDA NA KUNISHINDIA VITA ZANGU.
ninatamani siku moja na wewe uwe na kitu kinaitwa IMANI , neno dogo ila ni mwisho wa matatizo 🙏❤️