Msanii Diamond Platnumz ametangaza kuachia Video nyingine kutoka kwenye EP yake ya #FOA ambayo ni #SONA aliyomshirikisha msanii Adekunlegold ambayo itatoka rasmi leo Ijumaa Mei, 6, 2022
–
–
Diamond amethibitisha hilo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kwa kuandika………….”10 AM East Time.. 12 PM West Time tomorrow..!!! #SONA X @adekunlegold …ETHIOPIA!! am on my way, i can’t wait for another History this Saturday!!”
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa
Nilikuwa kwenye ndoa na dada moja ambaye alikuwa ni mke wangu, miezi kadhaa baada ya kufunga naye ndoa hali ilikuwa...
Read more