Msanii Diamond Platnumz Ni Rasmi Kuwa Ananunu Ndege Mwaka Huu Baada Ya Kusema Mara Kadhaa Kwenye Interviews Mbalimbali Sasa Rasmi Amefunguka Kuwa Mwaka Huu , #SIMBA Amepost Katika IG Yake Na Kueleza Hayo.
–
–
#SIMBA Ameandika……………..”We bought a 2021 Rolls Royce Black Bedge Zero killometre last Year, and we buying a Private Jet this Year!!! ✈ … SIMBA said dat!…Fu*k! it’s my Manager @sallam_sk ‘s Birthday and we party hard at UPEPO GARDEN tonight!! 🌍”