ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Saturday, February 4, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

    NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda

    SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

    PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

    Dkt. Jafo: “Huenda zaidi ya Sh. Trilioni 1 Zikapatikana kwa Mwaka Kutokana na Biashara ya Kaboni”

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Ijumaa Februari 3,2023

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Benki ya Stanbic yakabidhi vyumba vya madarasa 10 vyenye thamani ya zaidi ya TZS 159 milioni

iamkrantz by iamkrantz
May 15, 2022
in Uncategorized
Reading Time: 2 mins read
A A
0
Benki ya Stanbic yakabidhi vyumba vya madarasa 10 vyenye thamani ya zaidi ya TZS 159 milioni
0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (Katikati), akikata utepe katika hafla ya kukabidhi vyumba vya madarasa 10 vilivyojengwa  na benki ya Stanbic vyenye thamani ya TZS 159 milioni katika Kituo cha WATOTO WETU TANZANIA hivi karibuni Msata, Bagamoyo.Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi na Mwanzilishi wa kituo cha watoto yatima cha Watoto Wetu Tanzania,Evans Tegete (Kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Pwani – Abubakar Kunenge (wapili Kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Stanbic, Kevin Wingfield (Kulia) wakishuhudia tukio hilo.Hii ni sehemu ya mpango wa Benki ya Stanbic kuunga mkono juhudi za serikali za kuboresha utoaji wa elimu nchini.

May, Dar es Salaam:  Benki ya Stanbic Tanzania imekabidhi vyumba vya madarasa 10 vyenye thamani ya TZS milioni 159 katika kituo cha WATOTO WETU TANZANIA kilichopo Mazizi-Msata kwa kwaajli ya watoto wenye mahitaji maalumu na wanaoishi katika mazingira magumu.Hafla hiyo ilihudhuriwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani – Abubakar Kunenge na uongozi wa wilaya hiyo.

Msaada huo unaendana na maono ya benki ya kufanya ndoto ziwezekane huku ikikuza maendeleo ya binadamu ya Tanzania kupitia elimu jumuishi na bora. Benki imejitolea kuunga mkono juhudi za serikali za kuhakikisha watoto wote wanapata elimu bora kulingana na Dira ya Maendeleo ya 2025 ya nchi.

‘Tumedhamiria kutafuta njia mpya za kufanya ndoto ziwezekane kwa wateja wetu na jamii zinazotuzunguka, na tumechagua kimakusudi kuzingatia elimu na afya kama nguzo zetu mbili kuu za kuwekeza katika maendeleo ya kijamii,” alisema Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic, Kevin  Wingfield.

Kwa upande wake, Mhe Jakaya Mrisho Kikwete alipongeza juhudi za benki ya Stanbic za kuwekeza katika kusaidia jamii, na  kuiunga mkono serikali katika azama yake ya kuleta mabadiliko endelevu kwenye sekta ya elimu kwa kuongeza upatikanaji wa elimu bora. “‘Maendeleo ya nchi yanaundwa na vitu vingi lakini jambo kubwa ni rasilimali watu ambao wana ujuzi wa kusukuma gurudumu hilo,  inabidi tuhakikishe vijana wetu wanapata elimu bora ambayo itawawezesha kubuni mbinu mbadala za kutatua changamoto za jamii, vile vile kushindana katika soko la ajira duniani.” alisema.

Akizungumzia msaada huo Mkuu wa Mkoa wa Pwani – Abubakar Kunenge alisema Kupitia uchangiaji huu wa vyumba vya madarasa, Stanbic imesaidia kwa kiasi kikubwa kujenga wataalamu watakao jenga taaifa la kesho

Madarasa hayo 10 pia yatatumiwa na wasichana  waliokatisha masomo kutokana na mimba za utotoni.

Kama sehemu ya uwekezaji katika jamii, Stanbic imetoa zaidi ya TZS bilioni 1 kusaidia sekta ya elimu ya Tanzania; kwa kujenga vyumba vya madarasa, kuchangia madawati, na kukarabati miundombinu ya shule kama vile vyoo ili kuboresha usafi wa mazingira katika shule mbalimbali.

ADVERTISEMENT
Previous Post

MIRADI YAKO IKO SALAMA UKIWA UMEBIMA NA BENKI YA NMB

Next Post

MCHECHU ADAI FIDIA BIL 3 ZA KUCHAFULIWA / SAA 72 ZA GIZA KWA AKINA MDEE/ZARI YAMFIKA MAZITO/PABLO AWATISHA YANGA…….MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 16 MEI 2022

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima
Uncategorized

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima

by iamkrantz
January 31, 2023
0

Kutoka Kushoto: Mkuu wa Idara ya Bima - Benki ya NMB, Martine Massawe; Kamishna wa Bima nchini, Dkt. Baghayo Saqware;...

Read more
Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

January 25, 2023
Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

January 23, 2023
NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

Load More
Next Post
MCHECHU ADAI FIDIA  BIL 3 ZA KUCHAFULIWA / SAA 72 ZA GIZA KWA AKINA MDEE/ZARI YAMFIKA MAZITO/PABLO AWATISHA YANGA…….MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 16 MEI 2022

MCHECHU ADAI FIDIA BIL 3 ZA KUCHAFULIWA / SAA 72 ZA GIZA KWA AKINA MDEE/ZARI YAMFIKA MAZITO/PABLO AWATISHA YANGA.......MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 16 MEI 2022

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

February 2, 2023
YANGA YATAMBULISHA JEZI MPYA KUTUMIKA SHIRIKISHIO,CAF

YANGA YATAMBULISHA JEZI MPYA KUTUMIKA SHIRIKISHIO,CAF

January 31, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Februari 2,2023

February 2, 2023
Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda

February 3, 2023
Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

February 3, 2023
SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

February 3, 2023
PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

February 3, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In