ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, July 7, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    BENKI YA NBC YAJA NA ZAWADI KABAMBE TZS 65M FEDHA TASLIMU KWA WASHIRIKI NBC DODOMA MARATHON HAIJAWAHI KUTOKEA

    BENKI YA NBC YAJA NA ZAWADI KABAMBE TZS 65M FEDHA TASLIMU KWA WASHIRIKI NBC DODOMA MARATHON HAIJAWAHI KUTOKEA

    TCRA Ikiwa Viunga Vya Maonyesho Ya 46 Sabasaba

    TCRA Ikiwa Viunga Vya Maonyesho Ya 46 Sabasaba

    SERIKALI YAPEWA TANO UHIFADHI WA LOLIONDO/CCM YAKOSHWA/SIMBA ,YANGA UMAFIA MZITO/ZUCHU /MBOSO AFUNGUKA BIFU NA ASLAY………MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 4 JULAI

    SERIKALI YAPEWA TANO UHIFADHI WA LOLIONDO/CCM YAKOSHWA/SIMBA ,YANGA UMAFIA MZITO/ZUCHU /MBOSO AFUNGUKA BIFU NA ASLAY………MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 4 JULAI

    BENKI YA CRDB NA WAKALA WA SERIKALI MTANDAO ZANZIBARA WAINGIA MAKUBALIANO

    BENKI YA CRDB NA WAKALA WA SERIKALI MTANDAO ZANZIBARA WAINGIA MAKUBALIANO

    Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

    Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

    SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

    SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Wataalamu wapongeza jitihada za Benki ya CRDB kutoa elimu ya Uwekezaji

iamkrantz by iamkrantz
May 16, 2022
in BUSINESS NEWS
Reading Time: 11 mins read
A A
0
0
SHARES
1
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Benki ya CRDB imepongezwa kwa kuwa mstari wa Mbele katika kuelimisha Watanzania juu ya fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana ndani na nje ya na namna ya kuzifikia. Pongezi hizo zimetolewa wakati wa Semina maalum ya Uwekezaji iliyoandaliwa na benki hiyo na kufanyika katika Makao Makuu yake mapya yaliyopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi Jijini Dar es Salaam, ambapo watu zaidi ya 5,000 walishiriki.

Akizungumza katika Semina hiyo, Mkurugenzi wa Huduma kwa Wawekezaji Kituo cha Wawekezaji Tanzania (TIC), John Mnali alisema jitihada zinazofanywa na Benki hiyo kutoa elimu ya uwekezaji kwa wananchi zitasaidia kuongeza uelewa wa fursa za uwekezaji, kukuza idadi ya wawekezaji wazawa, na hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi.
“Tunafarijika kuona Benki yetu ya CRDB ipo mstari wa Mbele katika kushirikiana na Serikali kuwajengea wananchi uelewa juu ya fursa za uwekezaji. Pamoja na hivyo nimefurahishwa zaidi na utayari wao katika kutoa mitaji kwa wawekezaji wa ndani,” alisema Mnali.

Akielezea fursa za uwekezaji zinazopatikana katika sekta mbalimbali nchini, Mnali aliwataka Watanzania kutokaa nyuma katika kuchangamkia fursa za uwekezaji kwani Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji imekuwa ikitoa kipaumbele kwa wawekezaji wazawa.

“Kituo cha Uwekezaji sio tu kwa ajili ya wawekezaji wa nje, kinahudumia wawekezaji wote, kwa kutoa ushauri na kusaidia wawekezaji kufanikisha uwekezaji wao kwa kuwawezesha kupata vibali, leseni, na cheti cha uwekezaji,” alisema Mnali huku akitaka wananchi kizitumia vizuri pia taasisi zinazotoa huduma za uwekezaji kama ilivyo Benki ya CRDB.
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alisema malengo ya Semina hiyo ni kuona Watanzania wengi zaidi wanashiriki katika fursa za uwekezaji hapa nchini pamoja na kupata uelewa wa huduma za benki hiyo zitakazowasidia kuwa wawekezaji wazuri.

“Tumeona kazi nzuri inayofanywa na Serikali katika kuimarisha mazingira na kufungua milango ya fursa za uwekezaji. Tukiwa Benki kiongozi nchini ni wajibu wetu kuwaelimisha wananchi juu ya fursa hizi, lakini pia tumejipanga kuwawezesha kunufaika na fursa hzi kupitia bidhaa na huduma zetu bunifu,” alisema Nsekela.
Wataalamu na wabobevu wa uchumi na Uwekezaji kutoka Benki ya CRDB, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Kampuni ya Uwakala wa Hisa ya Orbit, Kampuni ya Bankable, Global Alliance, na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walikuwepo kutoa madana kujadili fursa za uwekezaji na namna ya kuongeza ushiriki wa watanzania. 

Baadhi ya fursa zilizojadiliwa ni pamoja na uwekezaji katika mnyororo wa thamani katika sekta ya kilimo, viwanda, nishati, usafirishaji, miundombinu, teknolojia, na Uwekezaji katika masoko ya mitaji ikiwamo Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Wataalamu hao walipongeza Benki ya CRDB kwa kuandaa semina hiyo wakibainisha kuwa changamoto kubwa inayosababisha ushiriki mdogo wa watanzania katika fursa za uwekezaji ni kukosa uelewa.
“Elimu kuhusu uwekezaji ndio imekuwa changamoto kubwa inayosababisha ushiriki mdogo wa Watanzania. Mfano katika soko la hisa Serikali imetoa vivutio vingi ambavyo vinamnufaisha mwekezaji lakini bado ni asilimia ndogo sana ya Watanzania wanashiriki katika Soko la Hisa,” alisema Ibrahimu Mshindo Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara DSE.

Mshindo alibainisha changamoto hiyo imekuwa ikiwaogopesha wawekezaji wengi kutoka nje kuja kuwekeza nchini kwa kuona wazawa hawashiriki katika masoko ya mitaji kikamilifu. “Wawekezaji wengi hupenda kuwekeza katika nchi ambayo soko la hisa ni changamfu kwani wanajua pindi wanapotaka kutoka inakuwa rahisi kupata wawekezaji wapya ambao ni wazawa,” alisema.

Naye Dkt. Daniel Mushi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alisema kuna haja ya wananchi kuwekeza katika maarifa kwani kwa asilimia 80 ndio msingi wa kufanikiwa kwa uwekezaji wowote. “Watu wanadhani mtaji kwa ajili ya uwekezaji ni fedha tu au mitambo, hii inakamilisha asilimia 20 tu, asilimia 80 ya uwekezaji ni maarifa, kujua fursa ni ipi, na ufanyaje ili uwekezaji wako uwe na faida…”

“… na ndio maana mtu mwenye biashara iliyofanikiwa akifariki bila ya warithi kuwa na maarifa ya biashara, biashara hiyo hufa, kwasababu ameondoka na maarifa yake ya Uwekezaji,” alisema Dkt Mushi huku akisisitiza kuwa kuna haja ya Serikali na taasisi za fedha kuwashika mkono wawekezaji wadogo nchini na kuwaongoza katika fursa za Uwekezaji.
Washiriki wa Semina hiyo waliipongeza Benki ya CRDB kwa kuandaa semina hiyo huku wakisema imesaidia sana kuongeza uelewa juu ya masuala ya uwekezaji na huduma za kifedha. Baadhi ya washiriki walipendekeza semina hiyo kufanyika hata mara tano kwa mwaka kwani bado uelewa wa masuala ya uwekezaji katika jamii ni mdogo.

Akitoa shukrani kwaniaba ya washiriki, Obeid Mwasajone ambaye pia ni Mwanahisa wa Benki ya CRDB aliishuru Bodi na Menejimenti ya benki hiyo kwa kuendelea kutekeleza programu za elimu ya uwekezaji na fedha kwa Watanzania. Alitumia nafasi hiyo kuwakaribisha Watanzania wengine kuwekeza katika Benki yao ya CRDB. “Faida ya kuwekeza huku ni kubwa mno, niwakaribishe mjionee wenyewe,” alisisitiza Mwasajone.
Mweneyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay, akizungumza wakati akitoa shukrani kwa washiriki wa Semina maalum ya Uwekezaji iliyoandaliwa na Benki ya CRDB, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa mikutano wa Benki hiyo, jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akizungumza wakati
wa Semina maalum ya Uwekezaji iliyoandaliwa na Benki ya CRDB,
iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa mikutano wa Benki hiyo,
jijini Dar es salaam. 

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akizungumza wakati akiiongoza Semina maalum ya Uwekezaji iliyoandaliwa na Benki ya CRDB na kufanyika mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa mikutano wa Benki hiyo,
jijini Dar es salaam. 

ADVERTISEMENT
Previous Post

MCHECHU ADAI FIDIA BIL 3 ZA KUCHAFULIWA / SAA 72 ZA GIZA KWA AKINA MDEE/ZARI YAMFIKA MAZITO/PABLO AWATISHA YANGA…….MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 16 MEI 2022

Next Post

Tiba ya kuondokana na madeni katika maisha

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

NBC YATAJA HUDUMA  INAZOZITOA SABASABA

NBC YATAJA HUDUMA INAZOZITOA SABASABA

by ALFRED MTEWELE
July 6, 2022
0

Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii Benki ya Taifa ya Biashara NBC imeainisha huduma zinazotolewa pale ukiweza tembelea banda lao...

Read more
VODACOM IKIWA VIUNGA VYA MAONYESHO YA 46 BIASHARA KITAIFA, SABASABA

VODACOM IKIWA VIUNGA VYA MAONYESHO YA 46 BIASHARA KITAIFA, SABASABA

July 6, 2022
WAZIRI NAPE NNAUYE ATEMBELEA BANDA LA TIGO SABASABA

WAZIRI NAPE NNAUYE ATEMBELEA BANDA LA TIGO SABASABA

July 6, 2022
Stanbic yazindua huduma mpya kwa wastaafu

Stanbic yazindua huduma mpya kwa wastaafu

July 4, 2022
SERIKALI YAPEWA TANO UHIFADHI WA LOLIONDO/CCM YAKOSHWA/SIMBA ,YANGA UMAFIA MZITO/ZUCHU /MBOSO AFUNGUKA BIFU NA ASLAY………MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 4 JULAI

SERIKALI YAPEWA TANO UHIFADHI WA LOLIONDO/CCM YAKOSHWA/SIMBA ,YANGA UMAFIA MZITO/ZUCHU /MBOSO AFUNGUKA BIFU NA ASLAY………MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 4 JULAI

July 4, 2022
𝐖𝐀𝐙𝐈𝐑𝐈 𝐖𝐀 𝐀𝐅𝐘𝐀 WA ZANZIBAR 𝐀𝐈𝐏𝐀 𝐊𝐎𝐍𝐆𝐎𝐋𝐄 𝐀𝐊𝐈𝐁𝐀 𝐂𝐎𝐌𝐄𝐑𝐂𝐈𝐀𝐋 𝐁𝐀𝐍𝐊

𝐖𝐀𝐙𝐈𝐑𝐈 𝐖𝐀 𝐀𝐅𝐘𝐀 WA ZANZIBAR 𝐀𝐈𝐏𝐀 𝐊𝐎𝐍𝐆𝐎𝐋𝐄 𝐀𝐊𝐈𝐁𝐀 𝐂𝐎𝐌𝐄𝐑𝐂𝐈𝐀𝐋 𝐁𝐀𝐍𝐊

July 3, 2022
Load More
Next Post
Tiba ya kuondokana na madeni katika maisha

Tiba ya kuondokana na madeni katika maisha

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

July 2, 2022
MFAUME AMKALISHA ABDULMONEM SAID ROUND YA 2 TU

MFAUME AMKALISHA ABDULMONEM SAID ROUND YA 2 TU

July 1, 2022
BENKI YA NBC YAJA NA ZAWADI KABAMBE TZS 65M FEDHA TASLIMU KWA WASHIRIKI NBC DODOMA MARATHON HAIJAWAHI KUTOKEA

BENKI YA NBC YAJA NA ZAWADI KABAMBE TZS 65M FEDHA TASLIMU KWA WASHIRIKI NBC DODOMA MARATHON HAIJAWAHI KUTOKEA

July 5, 2022

RAIS SAMIA AKEMEA UBAKAJI/SERIKALI YANG’ARA UFAULU/ MANARA AOMBA MSAMAHA KWA KARIA  ……MAGAZETI YA NDANI NA NJE YA TANZANIA, LEO J5, JULAI 6, 2022

July 6, 2022
NBC YATAJA HUDUMA  INAZOZITOA SABASABA

NBC YATAJA HUDUMA INAZOZITOA SABASABA

July 6, 2022
VODACOM IKIWA VIUNGA VYA MAONYESHO YA 46 BIASHARA KITAIFA, SABASABA

VODACOM IKIWA VIUNGA VYA MAONYESHO YA 46 BIASHARA KITAIFA, SABASABA

July 6, 2022
WAZIRI NAPE NNAUYE ATEMBELEA BANDA LA TIGO SABASABA

WAZIRI NAPE NNAUYE ATEMBELEA BANDA LA TIGO SABASABA

July 6, 2022
Waachezaji Kugushi Umri Wao,Kifaa Maalumu Kutumika

Waachezaji Kugushi Umri Wao,Kifaa Maalumu Kutumika

July 6, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In