Mwenyekiti wa Tume ya Madini Prof. Idris S. Kikula alitembelea banda la Benki ya Equity katika maonesho ya kwanza ya jukwaa la utekelezaji wa ushirikishwaji wa watanzania katika sekta ya madini, Equity bank ni mdau mkubwa kwenye sekta hii ya madini.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini Prof. Idris S. Kikula akipata maelezo ya kina kuhusiana na huduma mbalimbali zitolewazo na benki ya Equity alipotembelea banda lao katika maonesho ya kwanza ya jukwaa la utekelezaji wa ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta ya madini. Equity bank ni mdau mkubwa kwenye sekta hii ya madini