ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Wanahisa Wa Benki Ya CRDB Waidhinisha Malipo Ya Gawio La Shilingi Bilioni 94 Kwa Mwaka Wa Fedha Wa 2021

iamkrantz by iamkrantz
May 23, 2022
in BUSINESS NEWS
Reading Time: 5 mins read
A A
0
Wanahisa Wa Benki Ya CRDB Waidhinisha Malipo Ya Gawio La Shilingi Bilioni 94 Kwa Mwaka Wa Fedha Wa 2021
0
SHARES
5
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Wanahisa wa Benki ya CRDB wamepitisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 36 kwa kila hisa ambayo yanaleta jumla ya thamani ya gawio la mwaka wa fedha 2021 kufikia Sh 94 bilioni.

Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa 27 wa Benki hiyo uliofanyika jana katika mazingira ya mseto, Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo Dkt. Ally Laay alisema gawio lililoidhinishwa kwa kila hisa ni ongezeko la asilimia 64 ikilinganishwa na Shilingi 22 kwa kila hisa iliyotolewa mwaka jana. Alisema hiyo inaashiria ukuaji wa mapato kwa kila hisa ambapo katika kipindi cha mwaka 2021 yalikuwa Shilingi 102.7.

“Kwa mara nyingine tena, tunafuraha kuwasilisha thamani endelevu kwa Wanahisa wetu. Utendaji wa Benki katika mwaka wa 2021 ulitoa matokeo mazuri sana, ambayo unadhihirisha mafanikio ya mikakati yetu ya biashara. Mwaka 2021 Benki ilipata faida baada ya kodi ya Shilingi bilioni 268.2 bilioni, ikiwa ni ongezeko la asilimia 62.3,” alisema Dkt. Laay.

Aidha alibainisha kuwa kampuni tanzu za Benki hiyo ziliendelea kuchangia vyema katika biashara ya kundi huku kampuni tanzu ya Burundi pekee ikichangia faida ya jumla ya Shilingi bilioni 12.8 huku kampuni tanzu ya bima ikichangia faida ya TZS 859.0 milioni. Jumla ya mchango wa kampuni tanzu kwenye faida ya kundi ilikuwa 5%.

” Nafurahi kuripoti kwenu kwamba tumepata maendeleo makubwa katika kupata leseni na vibali vinavyohitajika kutoka kwa mamlaka za nyumbani pamoja na DRC. Tunatarajia kuanza uendeshaji ndani ya nusu ya pili ya mwaka wa fedha wa 2022.,” alibainisha alipokuwa akiwasasisha wanahisa kuhusu upanuzi wa kimkakati wa Benki hadi DRC.
Akizungumzia utendaji wa mwaka uliopita, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alisema mapato ya uendeshaji ya Kampuni yaliongezeka kwa asilimia 14.3% hadi Shilingi bilioni 924.0 kutoka Shilingi bilioni 808.7 mwaka 2020. Ukuaji huo ulitokana na ongezeko la 11.3% ya mapato ya jumla ya riba, yaliyotokana na ukuaji mzuri wa mikopo kwa wateja wadogo na wakati. Pamoja na ukuaji wa mikopo Benki hiyo lilifunga mwaka na uwiano wa mikopo chechefu wa 3.3% kulinganisha na kiwango cha udhibti cha soko cha 5%.
Nsekela alisema Benki ya CRDB pia ilirekodi ukuaji mkubwa wa mizania wa mwaka hadi mwaka wa 23% kutoka Shilingi trilioni 7.2 i mwaka 2020 hadi Shilingi trilioni 8.8. Ukuaji huo ulisababishwa na ukuaji wa asilimia 19.4 wa amana za wateja hadi Shilingi trilioni 6.5 kutoka Shilingi trilioni 5.4 zilizoripotiwa mwaka 2020, na ukuaji wa 20.6% wa fedha za wanahisa.
“Kutokana na mtazamo wetu makini katika mwaka huo, Benki yetu iliendelea kukamata masoko kwa bidhaa na huduma bunifu, hivyo kupelekea ukuaji endelevu katika mapato na faida yetu. Tuliendelea kufanyia kazi changamoto za wateja ili kuboresha utoaji wetu wa huduma na kuhakikisha tunawapa uzoefu uliobora zaidi pindi watumiapo huduma zetu,” aliongeza.
Akizungumzia kuhusu mipango ya mbeleni, Nsekela alisema kipaumbele cha Benki hiyo ni kuimarisha vichocheo vya ukuaji, na kujenga misingi imara ya uendelevu. Alitaja mwaka wa fedha wa 2022 kuwa mwaka wa mwisho wa mkakati wa muda wa kati wa Benki ya CRDB ambao ulikuwa na jukumu muhimu katika kuimarisha utendaji, na umeipa msingi mzuri benki hiyo kukabiliana na siku zijazo.
Aliwashukuru wanahisa kwa imani yao na kuendelea kuunga mkono uongozi na wafanyakazi wa benki hiyo, ambako kumeiwezesha benki hiyo kupata mafanikio makubwa katika sekta ya huduma za kifedha Tanzania, na kuwahakikishia dhamira ya Benki hiyo ya kuendelea kutoa thamani endelevu zaidi kwao.
Wakati huo huo, Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo, Dkt. Ally Laay aliwaeleza wanahisa kwamba katika kipindi cha mwaka huo, Benki ya CRDB ilipokea Wajumbe wapya wa Bodi Bw. Gerald Kasato, aliyechukua nafasi ya Bi. Rose Metta, akiwakilisha wanahisa wanaomiliki kati ya 1% -10% ya hisa na Bw. Roya Lyanga aliyechukua nafasi ya Bi. Ellen Gervas Rwijage kama mwakilishi wa Mfuko wa Uwekezaji wa DANIDA (DIF).
Bodi pia ilimteua Bi. Jessica Nyachiro kuongoza kampuni tanzu ya Benki ya CRDB katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Hadi kuteuliwa kwake, Bi. Nyachiro alikuwa Mkuu wa Mikakati na Mahusiano ya Wawekezaji. Pia alifahamisha wanahisa Afisa Mkuu wa Biashara wa muda mrefu wa Benki hiyo Dkt. Joseph Witts alitimiza umri wake wa kustaafu Desemba 2021. Hata hivyo, Bodi ilimuongezea mkataba wa miezi sita ili kuruhusu kukamilika kwa zoezi la kuajiri.

Kwa upande mwingine, Wanahisa waliidhinisha Ernst & Young kama Wakaguzi wa Nje wa Benki kwa mwaka wa fedha wa 2022, kuashiria imani yao katika sheria ya kiakili ya kampuni na kuendelea kwa Benki kuzingatia itifaki za utawala bora.

Wanahisa wa Benki pia walimchagua tena Wajumbe watatu wa Bodi Bw. Abdul Ally Mohamed kuwakilisha wanahisa wenye umiliki chini ya 1%, Dk. Fred Msemwa kuwakilisha wanahisa wenye hisa kati ya 1% na 10%, Bw. Martin Warioba kama Mkurugenzi Huru.

Akizungumzia malipo ya gawio hilo, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki hiyo na Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei, alieleza kufurahishwa kwake na kuendelea kuongezeka kwa gawio huku akibainisha kuwa ukuaji huo ni mkubwa kupata kutokea. Dkt. Kimei  alisema kuwa hisa za benki hiyo zimebakia kuwa chachu ya wawekezaji kwasababu benki hiyo haijawahi kushindwa kutoa gawio kwa Wanahisa wake.

ADVERTISEMENT
Previous Post

TBS Yatoa Elimu kwa Wananchi 15,000*

Next Post

TBS YATOA MAFUNZO KWA WAZALISHAJI NA WAUZAJI WA MCHELE MKOANI MARA

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki Ya Sheria Dodoma
BUSINESS NEWS

Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki Ya Sheria Dodoma

by iamkrantz
February 2, 2023
0

    Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma. Pichani, Meneja wa Kanda...

Read more
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

January 30, 2023
Benki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’

Benki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’

January 27, 2023
TIGO YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA DROO KUBWA YA WAKISHUA

TIGO YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA DROO KUBWA YA WAKISHUA

January 27, 2023
Benki ya NMB Yajivunia Mchango wa Wadau Kufikia Mafanikio Yake ya Mwaka 2022

Benki ya NMB Yajivunia Mchango wa Wadau Kufikia Mafanikio Yake ya Mwaka 2022

January 26, 2023
BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA MIL. 24 KWAAJILI YA SHULE YA MAJI MATITU NA CHARAMBE

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA MIL. 24 KWAAJILI YA SHULE YA MAJI MATITU NA CHARAMBE

January 24, 2023
Load More
Next Post
TBS YATOA MAFUNZO KWA WAZALISHAJI NA WAUZAJI WA MCHELE MKOANI MARA

TBS YATOA MAFUNZO KWA WAZALISHAJI NA WAUZAJI WA MCHELE MKOANI MARA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

February 6, 2023
Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

August 18, 2022
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

February 2, 2023
HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

February 7, 2023
DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

February 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

February 7, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

February 7, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In