ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Lissu: Serikali imenilipa madeni yote, kiinua mgongo

admin by admin
June 2, 2022
in BUSINESS NEWS
Reading Time: 2 mins read
A A
0
Lissu: Serikali imenilipa madeni yote, kiinua mgongo
0
SHARES
1
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu amesema Serikali imemlipa kiunua mgongo chake aliochukuwa akikidai baada ya kutumikia nafasi ya ubunge kwa zaidi ya miaka mitatu.

Wakati Lissu akisema amelipwa madeni hayo,  Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Emmanuel Tutuba amesema ni utendaji wa kawaida serikalini kulipa madeni ya wafanyakazi na viongozi hata mafao ya wastaafu.

Lissu aliyekuwa mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni alivuliwa ubunge Juni 28 mwaka 2019 kwa madai mbalimbali yakiwemo ya kutojaza taarifa za mali na madeni na sababu ya pili kutokutoa taarifa kwa Spika mahali alipo.

Wakati huo, Lissu alikuwa Ubelgiji akiendelea na matibabu baada ya kupigwa risasi zaidi ya 30 na watu wasiojulikana akiwa katika makazi yake Area D jijini Dodoma. Licha ya kufanya juhudi mbalimbali za kufuatilia kiunua mgongo chake Lissu hakufanikiwa.

Lakini Febaruari mwaka huu, alipokutana na Rais Samia Suluhu Hassan Ubelgiji Lissu alifikisha kilio hicho kwa mkuu huyo wa nchi, ambaye alimuahidi kumsadia kulitatua. Pia Lissu alimuomba Rais Samia kumsaidia kupata hati ya kusafiria, jambo lilitekelezwa ndani ya muda mfupi na Serikali.

Akizungumza na mmoja wa mtandao leo Jumatano Juni Mosi 2022, Lissu amesema kuwa miezi miwili iliyopita alipigiwa simu na mtu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango akamueleza kuwa madeni aliyokuwa akidaia yameshalipwa.

“Nilikuwa na madeni ambayo nilikopa katika benki mbili na nilishtakiwa na mojawapo ya benki kwa kushindwa kulipa mkopo uliokuwa unalipwa kupitia mshahara wa ubunge. Nilipelekwa mahakamani na benki hiyo.

“Alivyonipigia simu akaniambia nimelipiwa madeni yangu yote kutokana na kiunua mgongo. Naweza nikasema hadharani kwamba limefanyiwa kazi ni jambo jema kwa kweli. Sina madeni ya benki na usumbufu niliokuwa nikiupata,” alisema Lissu.

Alipoulizwa kwa njia ya simu simu leo kuhusu Lissu kulipwa, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Emmanuel Tutuba amesema “Tunapolipa huwa tunapeleka kwa ofisa masuuli wa taasisi husika. Kwa mbunge, kuna mfuko wa Bunge. Pesa zinapelekwa huko.

“Hata hizo za matibabu zinaingizwa huko pia. Ukiwasiliana na Bunge watakuwa na taarifa zaidi kwa sababu wao ndio wanaowajua wanaostahili,” amesema Tutuba.

Kwa mujibu wa Lissu, maombi mbalimbali aliyoyafikisha kwa Rais Samia yamefanyiwa kazi, kwa kiasi kikubwa ikiwemo kuachiliwa huru kwa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe pamoja na wafungwa wa kisiasa waliokuwa katika magereza mbalimbali.

Lissu alisema watu wengi wameachiwa na kesi nyingi zilizokuwa mahakamani zimefutwa, ingawa bado zipo kesi za makada wa Chadema zipo mikoa ya Njombe na Songwe, hata hivyo zinashughulikiwa na zitaisha.

Hata hivyo, ambaye ni mbunge wa zamani wa Singida Mashariki haki za matibabu na usalama wake pindi atakaporejea Tanzania ni miongoni mwa mambo bado hayajafanyiwa kazi. Ingawa alisema kuhusu matibabu alitakiwa kuandika barua.

“Nililetewa ujumbe niandike barua kuomba nilipe stahiki zangu za matibabu na nimeshaiandaa kukamilika kwa kiasi kikubwa ingawa bado natafuta nyaraka kwa sababu nimetibiwa Kenya na Ubelgiji.

“Kwa sasa nakusanya nyaraka zote hili nizipeleke pamoja na barua, kwa sababu Rais Samia aliniahidi kulishughulikia. Suala la usalama wangu nilimuomba Rais Samia atoe tamko la kusema Lissu na wenzake waliokimbia nchi wakirudi Tanzania kwamba mkuu huyo nchi ndio msalaba wao kwa lolote litakalotokea,” alisema.

ADVERTISEMENT
Previous Post

Sabaya amkataa mwendesha mashtaka

Next Post

Mke wa Professor Jay AFUNGUKA HAYA Kwa Mumewe Prof Jay

admin

admin

RelatedPosts

Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki Ya Sheria Dodoma
BUSINESS NEWS

Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki Ya Sheria Dodoma

by iamkrantz
February 2, 2023
0

    Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma. Pichani, Meneja wa Kanda...

Read more
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

January 30, 2023
Benki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’

Benki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’

January 27, 2023
TIGO YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA DROO KUBWA YA WAKISHUA

TIGO YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA DROO KUBWA YA WAKISHUA

January 27, 2023
Benki ya NMB Yajivunia Mchango wa Wadau Kufikia Mafanikio Yake ya Mwaka 2022

Benki ya NMB Yajivunia Mchango wa Wadau Kufikia Mafanikio Yake ya Mwaka 2022

January 26, 2023
BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA MIL. 24 KWAAJILI YA SHULE YA MAJI MATITU NA CHARAMBE

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA MIL. 24 KWAAJILI YA SHULE YA MAJI MATITU NA CHARAMBE

January 24, 2023
Load More
Next Post
Mke wa Professor Jay AFUNGUKA HAYA  Kwa Mumewe Prof Jay

Mke wa Professor Jay AFUNGUKA HAYA Kwa Mumewe Prof Jay

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

February 6, 2023
Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

August 18, 2022
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

February 2, 2023
HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

February 7, 2023
DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

February 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

February 7, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

February 7, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In