Mimi Mars; ni mwimbaji wa Bongo Fleva na mwigizaji wa Bongo Movies ambaye anasema kuwa, hana mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake, Marioo bali ni marafiki tu.
Mimi Mars amesema hayo wikiendi iliyopita katika uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya wa La La aliyomshirikisha Marioo.
Mimi Mars anasema; “Sisi (yeye na Marioo) tupo kwenye mahusiano ya urafiki, but imekua imefikia hatua watu wanasema ni mahusiano ya kimapenzi…”
Kama utakumbuka, Wimbo wa La La ni wa pili kwa Mimi Mars kumshirikisha Marioo, wa kwanza ni Una ambao alimshikisha pia Young Lunya alikuwepo.
MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI
Mwalimu wa shule ya Msingi Bukumbi Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Claud Makalanga (23) amehukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti...
Read more