ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Sunday, July 3, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

    Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

    SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

    SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

    COSTECH YAJIPANGA KUONYESHA BUNIFU MPYA SABASABA 2022

    COSTECH YAJIPANGA KUONYESHA BUNIFU MPYA SABASABA 2022

    CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

    CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

    PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

    PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

    BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

    BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Wanahisa Benki ya NMB waidhinisha gawio Bil. 96.7/-

admin by admin
June 6, 2022
in BUSINESS NEWS, NEWS
Reading Time: 2 mins read
A A
0
Wanahisa Benki ya NMB waidhinisha gawio Bil. 96.7/-
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
: Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna akimkabithi Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Dk. Edwin Mhede ripoti ya mwaka 2021 kwenye Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa, uliofanyika ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB, Juma Kimori na Kaimu katibu wa NMB, Consolatha Mosha.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa, uliofanyika ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam.

Wanahisa wa Benki ya NMB wameidhinisha gawio la Sh 96.7 bilioni kwa mwaka 2021, huku wakiwa na imani kubwa benki yao kuendelea kufanya vizuri zaidi mwaka huu.
Gawio la mwaka 2021 linatokana na kuongezeka kwa faida baada ya kodi kutoka Sh206 bilioni mwaka 2020 na kufikia Sh290 bilioni mwaka jana, mwaka 2021.

Katika Mkutano wake Mkuu wa 22 wa Mwaka uliofanyika mwishoni mwa wiki, wanahisa walipitisha kiasi hicho cha fedha ambacho ni sawa na malipo ya Sh193 kwa kila hisa kwa kipindi kilichoishia Desemba 31, 2021 (wanahisa walipata gawio la Shs 137 kwa kila hisa kwa mwaka 2020).

Akizungumza na wandishi wa habari, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB- Ruth Zaipuna alisema Benki hiyo itaendeleza mwenendo wake wa kufanya vizuri kwa kuvuka malengo iliyojiwekea kwa mwaka huu pia.

Matarajio hayo yanatokana na matokeo mazuri ya robo ya kwanza ya mwaka huu ambapo Benki tayari imepata faida baada ya kodi ya Sh101bilioni ikiwa ni ongezeko la asilimia 55 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana.

“Ni kweli tumeuanza mwaka 2022 vizuri. Mafanikio makubwa ya kiutendaji kwa mwaka 2021 na matokeo mazuri ya robo ya kwanza ya mwaka 2022 ni kielelezo cha ufanisi mzuri unaotokana na utekelezaji makini wa mikakati yetu. Tutaendelea kutekeleza kwa umakini sana mikakati tuliyojiwekea na tunaamini kwamba malengo tuliyojiwekea kama benki tutayafikia na kuyapita mwaka huu wa 2022,” alisema Zaipuna.

Alisema kwa mahesabu ya kawaida, matokeo ya robo ya kwanza ya mwaka huu yanaleta picha kuwa utakuwa mwaka mzuri pamoja na changamoto zinazoendelea kujitokeza duniani. “Kadri tunavyoendelea kukabiliana na mazingira ya biashara yanayobadilika kwa kiasi kikubwa, tumejipanga kwa umakini kupata matokeo mengine mazuri yatakayoendeleza rekodi yetu sokoni” alisema.

Mwaka jana, Benki ya NMB ilifanikiwa kuvuka malengo yake katika vigezo karibu vyote vya kiutendaji, huku amana za wateja zikipanda hadi Sh6.6 trilioni na mikopo ikifikia Sh4.8 trilioni.

Benki hiyo pia imeweka rekodi katika sekta ya benki kwa kuwa na uwiano bora wa gharama za mapato wa asilimia 46 hadi kufika Desemba 31, 2021 ikiwa imepungua kwa asilimia 5 ikilinganishwa na mwaka 2020 (asilimia 51), huku uwiano wa mikopo chechefu (NPL) ukifikia asilimia 4 ya mikopo ghafi, kiwango ambacho ni chini ya kile kinachotakiwa na Mdhibiti (Benki Kuu).

Kwa ujumla katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita benki ya NMB ilishuhudia Mizania bora, ukwasi wa kutosha na viwango thabiti vya mtaji ambavyo viko juu ya viwango vya udhibiti. Benki hiyo pia ilitambulika kimataifa kama benki bora na salama.

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Dk. Edwin Mhede alisema “Tumeendelea kudhihirisha ufanisi na ustahimilivu mkubwa kwenye biashara. Tutaendelea kujumuisha mafanikio makubwa yaliyopatikana, tuendelee kuzingatia kuwainua wafanyakazi wenye ujuzi unaofaa ili kuwasaidia kufanya kazi kwa ufanisi. Ninawahakikishia wanahisa wote wa Benki ya NMB, dhamira ya Bodi ni kufanya maamuzi sahihi ya kifedha na kuongeza faida kwa wanahisa wetu kwa miaka mingi ijayo”.

*Mwisho*

Tags: NMB
ADVERTISEMENT
Previous Post

HARMONIZE ANA UKABILA …..Q CHIEF

Next Post

NEEMA YA MAJI INAKUJA/MKUU WA MAJESHI ASTAAFU MWEZI HUU/MATUMAINI MAKUBWA WIZARA YA MICHEZO/HARMONIZE AMUAJIRI KAJALA……….MAGAZETINI LEO JUMANNE TAREHE 7 JUNI 2022

admin

admin

RelatedPosts

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
BUSINESS NEWS

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

by admin
July 2, 2022
0

Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Ruvuma, Bakari Ally Mketo akikata utepe kuzindua moja ya matrekta yanayotolewa na benki ya Benki...

Read more
SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

July 1, 2022
COSTECH YAJIPANGA KUONYESHA BUNIFU MPYA SABASABA 2022

COSTECH YAJIPANGA KUONYESHA BUNIFU MPYA SABASABA 2022

June 30, 2022
TRA Yakaribisha Wananchi Kutembelea Banda Lao Maonyesho Ya Sabasaba

TRA Yakaribisha Wananchi Kutembelea Banda Lao Maonyesho Ya Sabasaba

June 30, 2022
CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

June 30, 2022
PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

June 30, 2022
Load More
Next Post
NEEMA YA MAJI INAKUJA/MKUU WA MAJESHI ASTAAFU MWEZI HUU/MATUMAINI MAKUBWA WIZARA YA MICHEZO/HARMONIZE AMUAJIRI KAJALA……….MAGAZETINI LEO JUMANNE TAREHE 7 JUNI 2022

NEEMA YA MAJI INAKUJA/MKUU WA MAJESHI ASTAAFU MWEZI HUU/MATUMAINI MAKUBWA WIZARA YA MICHEZO/HARMONIZE AMUAJIRI KAJALA..........MAGAZETINI LEO JUMANNE TAREHE 7 JUNI 2022

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

July 2, 2022
MFAUME AMKALISHA ABDULMONEM SAID ROUND YA 2 TU

MFAUME AMKALISHA ABDULMONEM SAID ROUND YA 2 TU

July 1, 2022
PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

June 30, 2022
Mwanadada Atapeliwa “Iphone Kisa Nafasi ya Kazi”

Mwanadada Atapeliwa “Iphone Kisa Nafasi ya Kazi”

June 28, 2022
Abdul Sopu Apiga Hat-trick Michuano ASFC

Abdul Sopu Apiga Hat-trick Michuano ASFC

July 3, 2022
RADHANi NGODA ” MIMI NDIE MTANGAZAJI PEKEE WA FAINALI MAGOLI 6″

RADHANi NGODA ” MIMI NDIE MTANGAZAJI PEKEE WA FAINALI MAGOLI 6″

July 3, 2022
ALI KAMWE “MPIRA UNAHITAJI PESA”

ALI KAMWE “MPIRA UNAHITAJI PESA”

July 3, 2022
YANGA YACHUKUA UBINGWA MICHUANO YA AZAM

YANGA YACHUKUA UBINGWA MICHUANO YA AZAM

July 3, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In