Klabu ya Simba imetangaza kumuuza Kiungo wake Maestro Larry Bwalya Raia wa Zambia.
Hivyo mchezo wa Jumapili hii dhidi ya KMC utatumika kumuaga nyota Huyu mtalamu wa pasi za kudondosha nyuma ya mabeki.
Simba hawajaweka wazi Klabu anayoenda nyota Huyu ambaye kwa mda mrefu amekuwa akiwindwa na Amazulu fc ya Afrika Kusini.