Wakulima mkoani Mbeya waelezea juu ya changamoto ya mbolea kupanda bei maradufu ukilinganisha na kiasi ambacho kilichokuwa kinatumika kununulia bidhaa hiohio kwa kipindi cha muda mfupi hapo nyuma, hali hio imepelekea baadhi ya wakulima kushindwa kumudu gharama za kuendesha shughuli zao za kilimo ipasavyo ambapo baadhi yao kupunguza kabisa maeneneo ya mashamba yao ili kubaki na eneo watakaloweza kulimudu gharama za kulihudumia. Zaidi ya hapo wameiomba serikali kufuatilia swala hili na kuleta utatuzi mzuri.
Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta
Mfanyakazi was Lake oil akimgudumia mteja.kampuni ya Pesapal imezindua suluhisho inayowawezesha wamiliki wa vituo vya mafuta kuweza kufuatilia na kusimamia...
Read more