Watu watatu wilayani Lushoto mkoa wa Tanga wameshikiliwa na polisi kwa kujihusisha na biashara za magendo ya utoroshaji wa meno ya tembo yaliokuwa matano yenye uzito wa kilo 25, habari hio pia imeweza thibitishwa na mkuu wa wilaya ya Lushoto Mr. Lazaro.
SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL
Winga wa Klabu ya Arsenal, Bukayo Saka (21) raia wa England ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Machi wa...
Read more