Watu 6 mkoani Mara washikiliwa na jeshi la polisi kwa hatia ya kujihusisha na mauaji ya kikongwe afahamikaye kama Bi. Wankuri Mwita mwenye umri wa miaka 88 aliyekuwa mkazi wa kijiji cha Igicha kutokana na uhusishwaji wa imani za kishirikina hivyo vijana hao walikuwa wameahidiwa kulipwa Tsh. 500, 000/= ili kufanya mauaji hayo, huku katika kwenda kutekeleza tukio hilo tayali walikuwa wamekabiziwa kiasi cha Tsh.50,000/= kama kianzio.
SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL
Winga wa Klabu ya Arsenal, Bukayo Saka (21) raia wa England ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Machi wa...
Read more