Benki ya CRDB imeweza shusha riba zake za mkopo kwa wakulima hadi asilimia 9 ili kushirikiana na serikali katika kuwezesha wakulima waweze inua sekta kilimo ambayo kwa nchini Tanzania ndio moja ya sekta muhimu na hutegemewa kwa kiasi kikubwa.
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 31,2023
Karibu uweze kupitia habari kemkem zilizopewa kipaumbele katika kurasa za Magazeti ya leo Jumanne Januari 31,2023 kutokea jijini Dar es...
Read more