Maonesho ya 46 ya Sabasaba ya Biashara kitaifa yamenza rasmi kama ilivyoainishwa na uongozi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara kitaifa TANTRADE kuwa maonesho hayo yataanza tarehe 28 Juni hadi 13 Julai muda wake sasa umewadia hivyo baadhi ya makmpuni na wafanyabiashara mbalimbali wameanza kuwasili maeneo ya viwanja vya Sabasaba kutumia fursa hio.
Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki Ya Sheria Dodoma
Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma. Pichani, Meneja wa Kanda...
Read more