Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassani ametoa agizo kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaaam RC Amos Makala kutenga eneo mojawapo kwa ajili ya ujenzi wa soko la wanawake na kuongezea kwa kutoa rai kwa kina mama wasitelekeze watoto licaha ya changamoto za maisha wanazozipitia.
MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI
Mwalimu wa shule ya Msingi Bukumbi Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Claud Makalanga (23) amehukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti...
Read more