Msanii wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Giggy Money aweka wazi kuwa mahusiano yake mapya yako vizuri zaidi ya yale aliyokuwa nayo hapo awali licha ya kuwa ndiyo yaliompa nafasi ya kupata mtoto wake wa kwanza pekee na pia akaongeza kwa kusema anapenda mwanae Mayra apishane na mdogo wake umri wa miaka mitano.
source;cloudsfm #cloudsdigital