Hatimaye nchi ya Uturuki kuridhia Finland na Sweden kuwa washirika wa NATO baada ya kuwepo na mvutano wa pingamizi la muda mrefu nchi hio iliyouweka juu ya nchi mbili hizo kwa sababu iliyodhaniwa kuja kuleta uhasimu mkubwa sana baina ya mataifa mengine.
META KUZIACHIA HURU AKANTI ZA TRUMP
Kampuni ya Meta imetangaza kufungua akaunti za Facebook na Instagram za Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump zilizokuwa zimefungwa...
Read more