Wasanii 3 wa muziki wa kizazi kipya kutoka Lebo maarufu nchini Tanzania WCB Wasafi iliyoanzishwa na kumilikiwa na Msanii Diamond Platnumz; Zuchu, Mboso na Lavalava kwa pamoja wapata nafasi ya kuhuzuria na kutambulisha kwa ukaribisho ndani ya bunge wakiwa wameandamana na wasanii wengine maarufu katika tasnia ya sanaa ya uigizaji wafahamikao kwa majina ya Steve Nyerere na Monalisa.
NMB Bonge la Mpango – ‘Moto Uleule’ yazinduliwa, wateja kuzoa Mil. 180/-
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, Mhe. Paul Chacha pamoja na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya...
Read more