Benki ya CRDB yatangaza rasmi kuwa tayari kuleta kwako Msimu mpya wa CRDB Bank Marathon ili kuigusa jamiii katika nyanja inayopitia changaoto kama ilivyo hapo awali kwa kujiunga na ada ya Tsh. 40,000 kwa mtu mmoja ili kuweza shiriki mbio kwa umbali wa KM5, KM10, KM21 na KM42 zitafanyika Jumapili ya Agosti 14 maeneo ya Green Grounds Oysterbay, Dar es Salaam.
BREAKING NEWS: AJALI YAUWA WATU 12 HUKU 50 WAJERUHIWA
Watu 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni...
Read more