Mchezaji wa Geita Gold George Mpole amzidi Fiston Kalala Mayele kwa kufikisha jumla ya magoli 17 katika msimu huu wa Ligi kuu inayozaminiwa ba Benki ya NBC nchini Tanzania na kuwa na nafasi ya kujinyakulia Kiatu cha dhahabucha mfungaji bora msimu wa Ligi Kuu 2021/2022.
NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya...
Read more