Mchezaji wa klabu ya FC Barcelona Memphis Depay akiwa anafurahia pumziko la msimu huu a-share picha katika akanti zake za mitandaoni akiwa pamoja na mwanamziki wa miondoko ya Afrobeat wa Nigeria Davido katika tukio lililoandaliwa na kampuni ya Puma huko nchini Ghana.
Udhamini wa NMB mikutano ya ALAT wafikia 1.2bn/-
Afisa Mkuu Wateja Wakubwa na Serikali wa NMB – Bw. Alfred Shao, akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Makamu wa...
Read more