Rais wa awamu ya 44 wa Taifa la Marekani mwenye asili ya jamii ya Kiafrika Barack Obama amepata nafasi kutembelewa na kuonana na Kansela wa zamani wa Ujerumani Angela Merkel ambaye walishawahi kuwa na uhusiano mzuri wa muda mrefu na wakaribu kikazi hapo awali walipokuwa katika nafasi zao za uongozi.
NMB WAZINDUA KAMPENI YA “UMEBIMA TELEZA NA HII”ZANZIBAR
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi - Idrissa Kitwana Mustafa na Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya...
Read more