Wachezaji, mashabiki na viongozi wa timu ya Coastal Union na Yanga kutambiana juu ya nani atakayerejesha kwao kombe la AZAM SPORTS FEDERATION CUP msimu huu 2021/2022 ilihali muda mchache umesalia mtanange huo kupigwa jijini Arusha.
MO DEWJI AIWAKIA VUNJABEI KUONDOSHA MATANGAZO YA MO JEZI MPYA
Mkurugenzi wa Makampuni ya METL Group na Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji MO kupitia ukurasa wa Twitter wa...
Read more