Mwanamasumbwi wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania Mfaume Mfaume kupitia pambano lake lililoandaliwa THE RETURN OF NACCOZ KING dhidi ya mpinzani wake bondia mwenye Record nzuri kutokea Misri Abdulmonem Said Yaliofanyika Julai 1. 2022, aweza kujinyanyulia ushindi mkanda wa WBO kwa kumpiga ndani ya ROUND 2 tu baada ya Abdulmonem kuonyesha kushindwa kustahimili mikikimikiki kutoka kwa Mfaume.
MAN ‘U’ YAWANIA SAINI YA VICTOR OSIMHEN
Manchester United inaweza kutoa ofa ya pauni milioni 105 kwa mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen lakini uhamisho wa mshambuliaji huyo...
Read more