Mchezaji wa klabu ya Coastal Union Abdul Suleiman Sopu aweka rekodi ya kufunga Hat-trick hiyo ni baada ya kufunga goli 3 katika michuano ya mechi ya fainali kombe la shirikisho la AZAM SPORT dhidi ya Yanga iliochezwa jijini Arusha Julai 2.
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Wami, Harold Lambileki (kushoto) akimkabidhi kadi ya pikipiki mshindi wa Pikipiki katika droo...
Read more