Mtangazaji mashuhuri wa mpira wa miguu nchini Tanzania Ramadhani Ngoda (alwatan Ngoda) ajivunia kuweka rekodi ya kipekee katika fani yake ya utangazaji wa kandanda kwa kuwa ndie pekee ameweza tangaza fainali iliyohusisha magoli 6 baada ya Klabu ya Yanga na Coastal Union kukichapa kiushindani sana na kutoka 3-3 katika michuano ya fainali kombe la shirikisho la AZAM SPORTS.