Baada ya maridhiano baina ya pande mbili, kupitia mitandao yao ya kijamii Klabu ya Soka nchini Tanzania Azam FC imeweka wazi yakuwa imeamua kumuaga na kushukuru jitihada za mchezaji wao Mathias Kigonya aliekuwa anatumikia nafasi ya Golikipa katika klabu hio kwani mchezaji huyo amerihia kwa kwenda kupata changamoto sehemu nyingine ingawa bado mkataba wake ulisalia miezi 6 ili kumalizika.
NAIBU WAZIRI “FA” AIUNGA MKONO TAIFA STARS, AFCON 2023
Katibu Mkuu wa TFF, Kidao Wilfred akimkabidhi jezi ya Timu ya Taifa Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis...
Read more