Mchezaji wa Soka la kulipwa la mpira wa miguu nchini Tanzania anayekipiga katika Klabu ya Coastal Union Abdul Suleiman Sopu amezua gumzo kwa wadau na mashabiki wa soka hapa bongo kutaka kujua wapi atatia wino ingawa bado ikidaiwa vilabu 3, Young Sc, Simba SCna Azam FC vikimtazama yeye kwa jicho la karibu sana ili kuwahi usajili wake msimu huu wa mapumziko ya msimu wa Ligi kabla ya Ligi ya msimu ujao kuanza.