Juventus wamefikia makubaliano ya kumnunua tena kiungo wa kati Paul Pogba, 29, kwa mkataba wa miaka minne baada ya kandarasi ya mshindi huyo wa Kombe la Dunia la Ufaransa kumalizika Manchester United. (Sky Sports)
Chelsea wanatumai kukamilisha usajili wa wachezaji wawili wanaolengwa wiki hii, huku mazungumzo yakiendelea kuhusu wachezaji wa kimataifa wa Uholanzi, Matthijs de Ligt wa Juventus, 22, na Nathan Ake wa Manchester City, 27. . (Standard)
Hata hivyo, Bayern Munich wamefikia makubaliano ya mdomo na De Ligt katika pigo kwa matumaini ya Chelsea. (Sport1 in German