Kwa kipindi cha muda murefu kumekuwa na mtindo uliozoeleka kwa wachezaji kugushi umri wao kutoka katika umri wao halisi, hali hio imejidhihilisha baada ya kutokea kwa tetesi barani Afrika ya kuwa katika ligi za vijana chini ya miaka 17 au 20 kuna wachezaji hujisajiri huku wakitaja umri mdogo wakati wanaweza kuwa zaidi ya miaka 44 au kuzidi ili tu waweze pata shiriki katika michuano hio, hivyo imeonyesha kuna uhitaji wa kutumia mashine ili kuscan umri halisi kwa kila ambaye anajisajiri.
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Wami, Harold Lambileki (kushoto) akimkabidhi kadi ya pikipiki mshindi wa Pikipiki katika droo...
Read more