ZIARA MAALUMU: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh Nape Nnauye atembelea Banda la Tigo katika maonesho ya kimataifa ya biashara, Sabasaba kujionea Bidhaa na huduma zitolewazo kwa wateja wa Tigo. Katika maonesho haya Tigo ni mmoja wa wadhamini wakuu katika sekta ya mawasiliano. Tumekuandalia bidhaa na huduma zilizokatika bei punguzo na ofa katika msimu huu wa Sabasaba. Karibu
#TigoSabasaba2022
MPYA: TigoPesa yazindua Kadi Mtandao (Tigo Pesa Mastercard)
Tigo Pesa kwa kushirikiana na Mastercard na Selcom wazindua rasmi kadi mtandao ili kuwezesha malipo/manunuzi mtandaoni. "Huduma hii ni muendelezo...
Read more